mufuhiaikambe
Member
- Mar 13, 2020
- 34
- 57
Sawa mkuuMaswali tutavumiliana maana najua yatanirudisha kule kule kwenye maelezo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMaswali tutavumiliana maana najua yatanirudisha kule kule kwenye maelezo wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka hiyo hiyo ndefu mkuu wavivu wa kusoma wakasome vitabu vya chekecheaNataka tu nitoe summary ya vitu vitabu
Damu zile zilisababishwa na nini
Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini
Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi
Kila kitu kitakuwa kwenye final episode
Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafeli mkuu. Wewe simulia kila kitu isipoisha leo, kesho nayo ni siku utaendelea..Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu
Damu zile zilisababishwa na nini
Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini
Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi
Kila kitu kitakuwa kwenye final episode
Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna majitu yanamfosi afupishe kama vile yamelipia kiingilio.Unafeli mkuu. Wewe simulia kila kitu isipoisha leo, kesho nayo ni siku utaendelea..
Ukisema uruke baadhi ya matukio, kisa chako chote kitapoteza uhalisia.
Hata wana wa Israeli hawakufika kaanani siku moja, iliwachukua miaka 40 kuifikia nchi ya ahadi.
Hivyo hivyo hata kwenye simulizi yako hata kama itachukua mwezi wewe simulia tu, hakuna haja ya kuruka matukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu
Damu zile zilisababishwa na nini
Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini
Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi
Kila kitu kitakuwa kwenye final episode
Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni bando mkuu hahaaa nacheka kama jamaa aliejificha nyuma ya mti wa muembeTunataka hiyo hiyo ndefu mkuu wavivu wa kusoma wakasome vitabu vya chekechea
Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
Halafu usiku wa manane! Jitu linakucheka unachokifanya[emoji23]Shida ni bando mkuu hahaaa nacheka kama jamaa aliejificha nyuma ya mti wa muembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe watu wengi humu ni wavivu mno.
Mkuu hamia Ttcl ukiwa na 5000 unajiunga GB 5 kwa mwez km sio mtu wa anasa zinakufikisha mwezShida ni bando mkuu hahaaa nacheka kama jamaa aliejificha nyuma ya mti wa muembe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] sijui alikua naniShida ni bando mkuu hahaaa nacheka kama jamaa aliejificha nyuma ya mti wa muembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka aliambiwa asionekane na mtu yoyote.
Itakua ni makutano ya wachawi wa kijiji pale [emoji28]
Pengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaishaNakubaliana na wewe watu wengi humu ni wavivu mno.
Hawajui ya kwamba simulizi ya aina yoyote huundwa kwa matukio, pasipo matukio hakuna tena simulizi..
Na pengine hayo matukio ambayo atayaacha ndio yamebeba dhumuni hasa ya simulizi yenyewe..
Hivyo, ningewaasa wafuatuliaji wawe na subira tu, mleta uzi aandike kila kitu anachoona kinafaa kwetu wasomaji na si kumpangia.
Sent using Jamii Forums mobile app