Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu

Damu zile zilisababishwa na nini

Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini

Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi

Kila kitu kitakuwa kwenye final episode

Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka hiyo hiyo ndefu mkuu wavivu wa kusoma wakasome vitabu vya chekechea

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu

Damu zile zilisababishwa na nini

Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini

Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi

Kila kitu kitakuwa kwenye final episode

Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafeli mkuu. Wewe simulia kila kitu isipoisha leo, kesho nayo ni siku utaendelea..

Ukisema uruke baadhi ya matukio, kisa chako chote kitapoteza uhalisia.

Hata wana wa Israeli hawakufika kaanani siku moja, iliwachukua miaka 40 kuifikia nchi ya ahadi.

Hivyo hivyo hata kwenye simulizi yako hata kama itachukua mwezi wewe simulia tu, hakuna haja ya kuruka matukio.

Kuna majitu yanamfosi afupishe kama vile yamelipia kiingilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu

Damu zile zilisababishwa na nini

Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini

Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi

Kila kitu kitakuwa kwenye final episode

Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama una muda wa kuimaliza nenda nayo mdogo mdogo mpaka iishe.

Au itengenezee summary kama unavyosema, ila siku ukipata nafasi ipeleke hata kwenye vituo vya radio kama simulizi.

Kuna vitu kibao watu wanaweza kujifunza.
 
Kuna majitu yanamfosi afupishe kama vile yamelipia kiingilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe watu wengi humu ni wavivu mno.

Hawajui ya kwamba simulizi ya aina yoyote huundwa kwa matukio, pasipo matukio hakuna tena simulizi..

Na pengine hayo matukio ambayo atayaacha ndio yamebeba dhumuni hasa ya simulizi yenyewe..

Hivyo, ningewaasa wafuatuliaji wawe na subira tu, mleta uzi aandike kila kitu anachoona kinafaa kwetu wasomaji na si kumpangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu usiku wa manane! Jitu linakucheka unachokifanya[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka aliambiwa asionekane na mtu yoyote.
Pia kuku afe but wakati anakimbia kuku akawa kama anahangaika means kuku hakukata roho.
Sina uhakika Ila nahisi hayo yalimuongezea matatizo zaidi. Lets wait and see.
 
Nakubaliana na wewe watu wengi humu ni wavivu mno.

Hawajui ya kwamba simulizi ya aina yoyote huundwa kwa matukio, pasipo matukio hakuna tena simulizi..

Na pengine hayo matukio ambayo atayaacha ndio yamebeba dhumuni hasa ya simulizi yenyewe..

Hivyo, ningewaasa wafuatuliaji wawe na subira tu, mleta uzi aandike kila kitu anachoona kinafaa kwetu wasomaji na si kumpangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine watu wanataka labda nisimulie kama movies wakilenga labda mwisho wa story utakuwa wa namna fulani ni ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwani hayajui sterling ni nani kule juu kunawengine walijitungia story yao mpaka ikaisha

Lakini mimi nimesema nasimulia matukio tu niliyoyaona kwa macho yangu sio bongo movie au sinema za kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom