Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na Katibu Mkuu Oscar Kambona.
Ni ujinga wa nyerere kuacha kusikiliza ushauri mzuri wa kina Kambona na the bright ones wa kipindi kile ndipo kulikokuja sababisha nchi yetu kupoteza mwelekeo na baadae tukaletewa dubwana CCM.
CHADEMA kinaendelea kuthibitisha kuwa chama makini sana. Nafuatilia uchaguzi wao na naridhika kuwa hiki ni chama makini chenye watu wanaolumbana kwa hoja ili Chama chao kiwe chama mbadala bora kwa Watanzania.
Nina uhakika, figisu za CCM na wasiolitakia mema taifa letu zikikwama kuweka vibaraka kwenye uongozi wa juu wa CHADEMA na hatimaye LISSU na HECHE wakashika uongozi wa chama hiki inawezekana sasa Mungu akawa ametukumbuka Watanzania na finally tunakapa CHAMA MAKINI SANA baada ya TANU ya Nyerere na Kambona.
Mungu awasimamie CHADEMA.