Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

🤔🤔🤔🤔🤔
 
Na wazalendo. Mkataba uwekwe wazi🇹🇿
Nchi hii ina mambo yanakera sana. Mpaka sasa huyu aliyejiunganishia mafuta bandarini hatujui ni nani, na inaonekana kama hakuna anayejali.

Kuna wakati huwa najiuliza hivi nchi hii ikiongozwa bila kuwepo mhimili wa bunge; mwananchi atapungukiwa kitu gani!
 
Mleta mada unapwaya sana. Ebu kajipange urudi tena. Umezusha masuala mazito alafu unayaachia juu juu!
NB: Kuhusu bandari ya DSM pale ni pafinyu sana. Na inaonesha hatupo serious kama taifa! Mengine nakuachia wewe the burden of proof!
 
Wewe hata hati ya kiwanja huna
 

 
Zilikuwa Fix za Tapeli Magufuli hizo
 
Hati zote za Uwekezaji ni 99 years sasa uache kuandika kabla hujatafiti!!... Haiwezekani Bandari zote zisimame kwasababu ya hii ya Bagamoyo,Ni watu wajinga na wapumbavu pekee ndio watakubali uongo huu!!.. Bandari ya Bagamoyo sio ya Kwanza (Bagamoyo inayo Bandari ya Kwanza)...Ujenzi wa Bandari hii ni kufungua nchi kuzuri!!..Sasa hivi mizigo yote ya Bagamoyo na baadhi ya mikoa ya karibu inapita Dar es salaam!!..Utakua mtu wa ajabu ukikataa Ujenzi huu kisa JK wakati tusipojenga uchumi wetu unaendelea kusuasua!!..Tuache Umimi nchi hii ni ya watanzania wote!!.. Bandari itarahisisha Usafirishaji sana!!
 
Kwa maoni na mtazamo Bila shaka ni sehemu ya aw5,ama ile gang,yote hayo yaweza kuwa hisia zako , ila ikiwa unaweza kutushawishi zaidi kwa vielelezo pengine ukatuamsha kutoka kwenye mawazo tozo na uchumi chechefu.
 
Wewe hutaki kuwa kwenye kamati?!..Huna sifa?!..Au mnyonge?
 
Conspiracy theories eeee?!!!

Unataka mkataba uwekwe wazi ndani ya magazeti?!!

Mikataba lini ikawekwa wazi na kuonekana na kila mmoja?!!

Nako huku ni kukaririshana ujinga....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
We bwabwaja tu huku, ila misingi yote ya kishetani na visasi ya mwendazake na genge lake tunaifutilia mbalu.

Ole nasha syo mtu wa kwanza kufa hasa kipindi hiki cha COVID,
Wamekufa wengi tena hawana mamlaka wa sukari wala presha.

Wacha nature ifanye kazi yake.
Bandari ni kichocheo cha uchumi, zikiwa 10 ni bora na za kuaminika zaidi kuliko moja foleni ya meli mwezi mzima kupakua na kupakia tu.
 
Achana na hao sukumagang... Overly clueless! Ni kawaida yao kujimwambafy na kujiona bora kuliko wengine!
Tapeli wao walimtukuza mwisho akaenda zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…