Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeweka vizuri. Lakini Je, comparison analysis imefanyika kati ya kupanua bandari ya DSM hata kwa kulipa fidia na bandari kuendeleza operation bila masharti dhidi ya kujenga bandari mpya?LOoooh, hata sijui kama wewe ndiye hasa mwasisi na mwandishi wa mada hii; na kama ni kweli, basi huenda Tanzania tumekwishaingiliwa hadi mvunguni.
Hii itakuwa ni hatari kubwa sana kwa taifa hili.
Kuna kitu ambacho waTanzania wengi inapasa wakijue na wasikichanganye kabisa katika kujadili habari za uwepo wa Bandari ya Bagamoyo au nyingine yoyote mpya.
Mkanganyiko uliopo ni huu wa kuihusisha Bagamoyo na waChina, tukiondoa mkanganyiko huo nadhani wengi watakubali kwamba Bandari ya Bagamoyo au Mwambani zilizobora kabisa ni muhimu kwa taifa letu. Tunahitaji uwepo wa bandari kubwa yenye uwezo zaidi ya ule unaopatikana kwa bandari zilizopo sasa. Hili ndio takwa.
Tatizo ni mpango upi unaotakiwa tuutumie ili kupata hiyo badari. Huu wa wachina, au watu wengine wowote wenye kuhusisha kutukamua ni tatizo, bila kujali ni nani anahusika.
Tunaweza kujenga bandari mpya na kubwa taratibu kwa uwezo wetu wa ndani; mfano ni hiyo Lamu, mbona bandari imejengwa na inaendelea kujengwa kwa hatua. Maswala ya kukabidhi miradi kama hii kwa watu/makampuni/nchi zingine yana umuhimu gani kwa ufanisi wa nchi yetu?
Kwa nini ushiriki wetu kama nchi kwenye miradi ya aina hii iwe ni nongwa, mbona bomba la mafuta tunashiriki kama nchi!
Kwa hiyo, niseme tu kwa ufupi. Kuna mambo ninakubaliana nawe kuhusu huu mradi wa bandari ya Bagamoyo.
1. Ninakubaliana nawe kwamba kuna kundi la watu wanaousukuma mradi huu kwa manufaa yao binafsi zaidi kuliko manufaa ya nchi yetu, na kundi hili linaonekana wazi kuwa hatari sana kwa nchi yetu. Lisipodhibitiwa haraka tutakuwa matatani.
2. Ninakubaliana nawe kwamba hatuhitaji bandari na viwanda kushusha na kupakia bidhaa toka nje, huku tukifaidika kidogo na uwekezaji wa namna hiyo.
Nisiyokubaliana nawe ni
1. Uhitaji wa bandari kubwa yenye uwezo mkubwa kuliko unaopatikana kutokana na zilizopo sasa hivi. Ni muhimu sana tuwe na bandari ya kisasa kabisa na kubwa kuhimiri ongezeko kubwa la biashara katika ukanda huu miaka michache iinayofuata.
2. Wachina, kwani wana kizuizi gani cha kupeleka miradi yao Lamu, ambako najua wakitaka ni haraka sana wanakabidhiwa kila kitu.
Hizi 'Consipiracy theories' hizi zinazoibuka kila mahali wakati huu, ni mwanzo tu wa makubwa yatakayofuata baada ya hapa.
Mkuu, 'midimay', naheshimu kutokubaliana kwetu, mradi tukiwa tumeelewa vya kutosha tunaposimamia.Umeweka vizuri. Lakini Je, comparison analysis imefanyika kati ya kupanua bandari ya DSM hata kwa kulipa fidia na bandari kuendeleza operation bila masharti dhidi ya kujenga bandari mpya?
Mimi sikubaliani kujengwa kwa mradi mkubwa kiasi hicho huku tukiwa tumetofautiana na kugawanyika pakubwa kama nchi juu ya mradi wenyewe. Tawala huja na kuondoka na kuja tawala zingine. Nchi isifanyiwe majaribio ya do and undo kila wakati.
Hati zote za Uwekezaji ni 99 years sasa uache kuandika kabla hujatafiti!!... Haiwezekani Bandari zote zisimame kwasababu ya hii ya Bagamoyo,Ni watu wajinga na wapumbavu pekee ndio watakubali uongo huu!!.. Bandari ya Bagamoyo sio ya Kwanza (Bagamoyo inayo Bandari ya Kwanza)...Ujenzi wa Bandari hii ni kufungua nchi kuzuri!!..Sasa hivi mizigo yote ya Bagamoyo na baadhi ya mikoa ya karibu inapita Dar es salaam!!..Utakua mtu wa ajabu ukikataa Ujenzi huu kisa JK wakati tusipojenga uchumi wetu unaendelea kusuasua!!..Tuache Umimi nchi hii ni ya watanzania wote!!.. Bandari itarahisisha Usafirishaji sana!!
Ndiyo ushangae sasaOle Nasha (RIP) alikuwa 'Waziri kijana"???
Ni wazi TZ tunaelekea kubaya manung'uniko yamekuwa mengi dhidi ya baadhi ya watu...watu wanna chuki mno na hili kundi la watu wachache...ngoja tuone mwisho wake...malalamiko ni mengi mno..Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi.
Kwa kutoa Watanzania wasiwasi na kuzingatia tajari tulisha ambiwa kuna madudu mengi sana kwenye huu mkataba. Lakini China nayo imekuwa ikisema kusuhu kuwa na base za kijeshi kwenye bandari zao ni lazima mkataba uwe wazi ili Watanzania wote tujue tunaingia kwenye mkataba wa namna gani. Wakina Samia na Kikwete hawatakuwepo pale China ikipewa bandari kwa miaka 99 na bandari kuwa kama balozi hivyo China kufanya wanalotaka.
Pamoja na mambo ambayo hatuyajui ni
1. Kuna umuhimu gani wa kuwa na bandari tatu karibu ya Tanga, Dar na hii ya Bagamoyo
2. Bandari ya Bagamoyo watarudisha vipi uwekezaji wa $10B bila kuchukuwa mizigo ya bandari ya Dar!. Je itawezekana vipi hizi bandari mbili kuongeza mizogo kwa zote!?. Na bandari ya Dar kuna mtu anafikiri watapata tena mizigo ya kutoka China?.
3 Tujue China ni kama inatawala shaba kule Zambia ndiyo mjenzi wa Tazara Je mizigo ya Zambia itaendelea kupitia bandari ya Dar au Bagamoyo?
Ukiangalia vizuri hii bandari ya bagamoyo ni mradi wa watu wachache. Hivyo viwanda wanavyosema watajenga sio viwanda ni magodauni ya kuweka mizigo huo ndiyo ukweli. Hakuna kiwanda eti kinasubiri bandari kwasababu Tanzania tuna bandari na maeneo ya ujenzi sasa hivi. Lakini kuna pesa ya mafuta na bomba linaenda Tanga ni kwanini tusikuzi pale ambapo tayari tuna uhakika wa soko kubwa na pesa? Tanga kuna umbali gani???! na hii ingefanya bandari zote bado ziwe chini ya TPA. Hii bandari ya Bagamoyo haitakuwa ya TPA tujue hilo.
Msishangae mtoto wa Kikwete kualikwa China eti kwenye mafunzo na kuacha wabunge wengine wenye uzoefu. Hii yote ni mradi wa bandari na hawa Kikwetes tuwe nao makini sana. Vilevile tusiwaamini wapinzani kwenye hili China wanauwezo wa kuhonga mpaka upinzani. Kitu kimoja tu tunaomba ni uwazi mkataba wekeni hapa na sio kutudanganya kwa mambo ya kazi. Vilevile Ole Nasha kufariki ni kitu cha kujiuliza sana maana tunasikia alianza kupinga mambo mengine.
Mbona kikitajwa "kifo" tu mnaweweseka? Kama ni natural death why mnaweweseka?Kuna watu huwa hamuamini natural death kabisa
Mkuu Kamundu , hili la uadilifu wa Comred Ole Nasha, nakuunga mkono hata mimi nimezungumzia hapa Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!
Lakini naomba usilete any conspiracy theories zozote kwenye kifo chake, kifo ni kazi ya Mungu.
Pili ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, ilikuwa ndio iwe a feed port ya mzigo wa kushibisha SGR. Bandari ya Dar es Salaam hata iki operates kwenye full capacity, haiwezi kushibisha SGR ikajiendesha kwa faida. Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo, inakuwa ni a free port, zile yards za magari Japan, Dubai na Singapore, zinahamia Bagamoyo, hivyo nchi zote za Africa South of Sahara, wanakuja kununua mahitaji yao yote Tanzania.
Na kwa vile tunafanya miradi kibao mikubwa ya kimkakati, sijaona ukiuliza mkataba wa SGR, Stigler, Ununuzi wa Ndege, Ujenzi wa Flyovers etc, why utake mkataba wa Bagamoyo?. Mikataba yote ina confidentiality clause. Kwani umeona mkataba wa Barrick?. Why so much noise on Bagamoyo Port?.
P
P
Tupo pamoja. Nikiri kwamba nimekuelewa. Natamani kila mtu hapa akuelewe kama nilivyokuelewa. Nikisema kidogo niling'amua ni juu ya "mode of action" au "mode of delivery". Umeweka wazi kabisa kwamba tunahitaji bandari kubwa kama tulivyowahi kuambiwa na tunavyoendelea kuaminishwa juu ya hiyo ya Bagamoyo. hapo hatupingani. Ninachopinga ni hiyo hiyo unachopinga na wewe. Bandari isijengwe pale kwa sababu tu ya maslahi ya kikundi fulani cha watu na wala isijengwe kwa mashinikizo ya nchi fulani. Kama hii nchi sio "Jamhuri ya Ndizi", basi idhihirike katika hili swala kubwa la Bandari.Mkuu, 'midimay', naheshimu kutokubaliana kwetu, mradi tukiwa tumeelewa vya kutosha tunaposimamia.
Uwezekano wa kupanua bandari ya Dar es Salaam kuwa na uwezo mpana kuhimili matakwa ya mahitaji makubwa miaka michache tu ijayo (weka 10 hadi 15), uwezekano huo haupo kwa mazingira iliyonayo Dar es Salaam. Unazungumzia fidia? Ufidie majumba na makazi ya watu katikati ya mji ili ujenge bandari? Hii itakuwa gharama kubwa sana.
Na siyo hivyo tu, wewe fikiria mazingira ya bandari yenyewe, na lango la kuingilia meli kubwa. Utaanza kuchimba mtaro kama wa Suez canal?
Swala la "kutofautiana" kama umenielewa katika niliyoandika hapo juu siyo swala kubwa sana tukiondoa hawa wenye kundi la u'upigaji' waliopo nyuma ya mradi huo, ambao ndio wengi tunawapinga kuhusiana na mradi wenyewe.
Bandari ya Bagamoyo ikijengwa kama mradi wetu, wa nchi ya Tanzania sioni kutofautiana sana kati yetu zaidi tu ya namna ya utekelezaji wake na gharama zitakazohusika. Vinginevyo sioni pingamizi juu ya mradi huo wenye manufaa makubwa kwa nchi yetu.
Nikisoma mistari yako miwili ya mwisho, naona kuwa hatupingani kati yako na mimi, ila nadhani ni kutoelewana tu katika uwasilishaji wa hoja zetu.
"Kutofautiana" unakokuandika hapa nielewavyo ni huko huko ambako nami sikukubali, kwa sababu ya kutaka ujenzi ufanyike kunufaisha genge la watu. Hata mimi huko sikupendi kabisa.
"...nchi isifanywe majaribio..."; hata mimi sipendi iwe hivyo. Kama ninakuelewa "majaribio" unayoyalenga ni kama mpango huo unaosukumwa na genge kujenga bandari kwa kutumia njia za kujinufaisha, badala ya kulenga mahitaji ya nchi. Mimi mradi huu wa Bagamoyo, au Mwambani Tanga, naipenda, kwa sababu najua uhitaji utakuwepo.
8. What is the role of(nini nafasi ya) Oman katika huu mkataba wa ujenzi wa bandari? Niliwahi kuona mahali akitajwa kama financier wa mradi. Na hapo pia kama financier huzaa maswali lukuki ya kujiuliza.P, Mradi wa treni umuhimu wake kila mtu anajua na tumekuwa makini sana na kutumia pesa zetu. Bandari ni tatizo. Kwanini tusikuze bandari ya Tanga wakati tayari kuna mafuta pale au Tanga nayo imejaa!!. Tanga sio mbali sana kama kweli hii bandari ni strategic ingekuwa Tanga na sio Dar. Lakini ukweli ni kwamba hii bandari haitakuwa chini ya bandari zetu sisi ni wadau tu na hii mimi sikubaliani nayo. Mimi sikubaliani na Tanzania kutoa bandari kama kwa nchi nyingine. Uendeshaji wa bandari sitashauri apewe nchi tena tujue China kampuni haziko huru zinaendeshwa kisiasa. China kwa wenyewe hii sio bandari ambayo wanategemea faida bali ni kuweka supply chain yao vizuri tu. Treni , ndege na mradi wa stigler ni wetu huu mradi hautakuwa wetu. Na ndiyo maana ni muhimu kuweka mkataba wazi. Je kuna siri gani kubwa za kuficha zaidi ya umiliki na kwanini wafiche. P mimi nashughulikia mikataba kazini najua kampuni zinavyojua kuiba.
Haya maswali sio kwa P pekee ni ya kujiuliza tu.
1. Na hapa ndiyo tunapishana maana mkataba hauko wazi bandari itakuwa ya nani?
2. Je $10B ni mkopo au ni wezezaji kama Mo wa Simba?
3. Je tunawamilikisha wachina uendeshaji wa bandari Je uendeshaji ukiwa mbovu tutafanyaje? tunaweza kufukuza management na kuweka nyingine kama hao CEO wengine au?
4. Vitu gani ambavyo hatutaruhusu China wafanye? mfano meli ya kijeshi ya USA itaruhusiwa kupiga nanga kwenye bandari hii kama wamekuja kufanya shughuli za kijeshi na JWTZ?
5. Wanasema wanajenga viwanda tunaomba list ya viwanda ambavyo wanavijenga na ni kiasia gani cha $10B ni viwanda? au watakuwa wanauza viwanja kwa wawekezaji wengine . Hapa tusipokuwa makini patajegwa magodown tu!
6. Kwenye matumizi na uhakiki wa ujenzi ni kampuni gani ina hakiki gharama za ujenzi? Nani anaiteua hii kampuni Tanzania au China?
7. Je ni vifaa gani vya ujenzi kama chuma, cement ..... vitatoka tanzania?
Kwa uandishi huu unaweza ukawekewa mkataba mezani na ukatoka patupu usielewe mkataba unasemaje!Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi.
Kwa kutoa Watanzania wasiwasi na kuzingatia tajari tulisha ambiwa kuna madudu mengi sana kwenye huu mkataba. Lakini China nayo imekuwa ikisema kusuhu kuwa na base za kijeshi kwenye bandari zao ni lazima mkataba uwe wazi ili Watanzania wote tujue tunaingia kwenye mkataba wa namna gani. Wakina Samia na Kikwete hawatakuwepo pale China ikipewa bandari kwa miaka 99 na bandari kuwa kama balozi hivyo China kufanya wanalotaka.
Pamoja na mambo ambayo hatuyajui ni
1. Kuna umuhimu gani wa kuwa na bandari tatu karibu ya Tanga, Dar na hii ya Bagamoyo
2. Bandari ya Bagamoyo watarudisha vipi uwekezaji wa $10B bila kuchukuwa mizigo ya bandari ya Dar!. Je itawezekana vipi hizi bandari mbili kuongeza mizogo kwa zote!?. Na bandari ya Dar kuna mtu anafikiri watapata tena mizigo ya kutoka China?.
3 Tujue China ni kama inatawala shaba kule Zambia ndiyo mjenzi wa Tazara Je mizigo ya Zambia itaendelea kupitia bandari ya Dar au Bagamoyo?
Ukiangalia vizuri hii bandari ya bagamoyo ni mradi wa watu wachache. Hivyo viwanda wanavyosema watajenga sio viwanda ni magodauni ya kuweka mizigo huo ndiyo ukweli. Hakuna kiwanda eti kinasubiri bandari kwasababu Tanzania tuna bandari na maeneo ya ujenzi sasa hivi. Lakini kuna pesa ya mafuta na bomba linaenda Tanga ni kwanini tusikuzi pale ambapo tayari tuna uhakika wa soko kubwa na pesa? Tanga kuna umbali gani???! na hii ingefanya bandari zote bado ziwe chini ya TPA. Hii bandari ya Bagamoyo haitakuwa ya TPA tujue hilo.
Msishangae mtoto wa Kikwete kualikwa China eti kwenye mafunzo na kuacha wabunge wengine wenye uzoefu. Hii yote ni mradi wa bandari na hawa Kikwetes tuwe nao makini sana. Vilevile tusiwaamini wapinzani kwenye hili China wanauwezo wa kuhonga mpaka upinzani. Kitu kimoja tu tunaomba ni uwazi mkataba wekeni hapa na sio kutudanganya kwa mambo ya kazi. Vilevile Ole Nasha kufariki ni kitu cha kujiuliza sana maana tunasikia alianza kupinga mambo mengine.
nakumbuka JPM aliwai sema mkataba unachodai ni kwamba kwa hio miaka 99,We bwabwaja tu huku, ila misingi yote ya kishetani na visasi ya mwendazake na genge lake tunaifutilia mbalu.
Ole nasha syo mtu wa kwanza kufa hasa kipindi hiki cha COVID,
Wamekufa wengi tena hawana mamlaka wa sukari wala presha.
Wacha nature ifanye kazi yake.
Bandari ni kichocheo cha uchumi, zikiwa 10 ni bora na za kuaminika zaidi kuliko moja foleni ya meli mwezi mzima kupakua na kupakia tu.
Ndege zenu je uliwahi kuona mkataba?!!..Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Unao mkataba?!!..Unakumbuka Ujenzi wa Daraja la Nyerere (Kigamboni) tulisema ni mradi wa kifisadi lakini tumeenda kuzindua na makamera kibao!!...Umeona mkataba wa Madini yetu?!!.. Bandari ni Nguzo ya Uchumi?!!..Kwa miaka 20 ijayo Dar es salaam Itakua Ndogo ndio maana lazima tuwe na mbadala!!..( Mbona Bagamoyo kuna Bandari na ilijengwa na wakoloni)... Unaonaje mizigo ya Malawi, Rwanda, Burundi ikiwaja Bagamoyo?!..Hivi na ufahamu wako unakubali kwenye Bandari iwe yetu alafu wachina wasitoe Mapato?!!..Mbona Nchi nyingine Duniani wanazo Bandari za kimkakati kama hii tunayotaka Bagamoyo!!!...P, Mradi wa treni umuhimu wake kila mtu anajua na tumekuwa makini sana na kutumia pesa zetu. Bandari ni tatizo. Kwanini tusikuze bandari ya Tanga wakati tayari kuna mafuta pale au Tanga nayo imejaa!!. Tanga sio mbali sana kama kweli hii bandari ni strategic ingekuwa Tanga na sio Dar. Lakini ukweli ni kwamba hii bandari haitakuwa chini ya bandari zetu sisi ni wadau tu na hii mimi sikubaliani nayo. Mimi sikubaliani na Tanzania kutoa bandari kama kwa nchi nyingine. Uendeshaji wa bandari sitashauri apewe nchi tena tujue China kampuni haziko huru zinaendeshwa kisiasa. China kwa wenyewe hii sio bandari ambayo wanategemea faida bali ni kuweka supply chain yao vizuri tu. Treni , ndege na mradi wa stigler ni wetu huu mradi hautakuwa wetu. Na ndiyo maana ni muhimu kuweka mkataba wazi. Je kuna siri gani kubwa za kuficha zaidi ya umiliki na kwanini wafiche. P mimi nashughulikia mikataba kazini najua kampuni zinavyojua kuiba.
Haya maswali sio kwa P pekee ni ya kujiuliza tu.
1. Na hapa ndiyo tunapishana maana mkataba hauko wazi bandari itakuwa ya nani?
2. Je $10B ni mkopo au ni wezezaji kama Mo wa Simba?
3. Je tunawamilikisha wachina uendeshaji wa bandari Je uendeshaji ukiwa mbovu tutafanyaje? tunaweza kufukuza management na kuweka nyingine kama hao CEO wengine au?
4. Vitu gani ambavyo hatutaruhusu China wafanye? mfano meli ya kijeshi ya USA itaruhusiwa kupiga nanga kwenye bandari hii kama wamekuja kufanya shughuli za kijeshi na JWTZ?
5. Wanasema wanajenga viwanda tunaomba list ya viwanda ambavyo wanavijenga na ni kiasia gani cha $10B ni viwanda? au watakuwa wanauza viwanja kwa wawekezaji wengine . Hapa tusipokuwa makini patajegwa magodown tu!
6. Kwenye matumizi na uhakiki wa ujenzi ni kampuni gani ina hakiki gharama za ujenzi? Nani anaiteua hii kampuni Tanzania au China?
7. Je ni vifaa gani vya ujenzi kama chuma, cement ..... vitatoka tanzania?
Ni kama Ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa Chato?!!..sasa hivi watu wanaweka mazao (kukaushia) kwenye run way....nakumbuka JPM aliwai sema mkataba unachodai ni kwamba kwa hio miaka 99,
Tz hatutaruhusiwa kukusanya kodi wala kudai chochote kwenye Bandari hio,
napia hatuta ruhusiwa kufungua Bandari kwa eneo fulani katika ukanda ule,
na hayo ndiyo aliyokua anayapinga Hayati JPM.
kwa mtazamo wangu, kama kweli hayo ndiyo yaliyomo kwenye mkataba huo,
Naungana na Mawazo ya JPM,
Japo naamini huenda kuna mengi zaidi ndani ya mkataba huo...
#God bless Africa [emoji288]
#God bless Tanzania [emoji1241]
Mbona barabarani yako ya Mwendokasi wewe sio uliyetoa fedha?!!!...8. What is the role of(nini nafasi ya) Oman katika huu mkataba wa ujenzi wa bandari? Niliwahi kuona mahali akitajwa kama financier wa mradi. Na hapo pia kama financier huzaa maswali lukuki ya kujiuliza.
Kwa ukubwa wa China ni wazi Bandari zetu zote bado zitaendelea kutumika!!..Hujajibu maswali muhimu
1. Bandari ya Dar itaendelea kupata mizigo kutoka China?
2. China na miradi yao ya shaba Zambia Je kuna mtu anafikiria watapitisha bandari yetu ya Dar
3. Je watarudisha vipi $10B ya ujenzi kama Bandari ya Dar bado iko wazi na inakuwa?.
Umetofautiana na Nani!!..Kwani Bagamoyo hakuna Bandari?!!... Unataka Viwanda vyote vya Bagamoyo walete mizigo Dar es salaam?!!..Shida mnadhani kila kitu ni PersonalUmeweka vizuri. Lakini Je, comparison analysis imefanyika kati ya kupanua bandari ya DSM hata kwa kulipa fidia na bandari kuendeleza operation bila masharti dhidi ya kujenga bandari mpya?
Mimi sikubaliani kujengwa kwa mradi mkubwa kiasi hicho huku tukiwa tumetofautiana na kugawanyika pakubwa kama nchi juu ya mradi wenyewe. Tawala huja na kuondoka na kuja tawala zingine. Nchi isifanyiwe majaribio ya do and undo kila wakati.
Ndio kashakua Raisi wetu hakuna Namna tena!!..Tuna muunga Mkono!!..Akienda kufungua Mkoa wa Chato tuanze kusema au ni Sawa?!!Mama samia wanampeleka chaka bila kujijua, uyu mama angebaki nyumban kuwapikia wajukuu
Unajua kuhusu DP (Dubai Ports) hebu kasome kidogoHiyo inakuwa Bandari ya Uchina. Nil sawa tumemuuzia Mchina ardhi ya kujenga bandari wakati sisi tuna Bandari zetu.
Halafu tumieni akili na kuona kisichoonekana kwa macho ya kawaida.