Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Peleka ujinga wako huko!!..Eti Bandari sio yetu!!..hao Funza kichwani hatari sana!!..Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Hivi unaweza kulinganisha mikataba ya manunuzi ya ndege na ujenxi wa bandari?
Basi tusene wanunuzi wa ndege walikula 30% na hawa wa bandari hawajala kitu;. Kati ya hai wawili unadhani nani anatutia hasara.
Ndege ni zetu hata kama kuna watu waliku;a cha juu lakini bandari sio yetu kea miaka 99. Hata wajukuu zako hawataifaidi hiyo.
Kumbe ulisikia??!!..Zambia waliingia mkenge na hawa kenge wachina hawa. Sasa hivi Zambia iko kwenye pilikapilika za kujinasua. Tumesikia kenya pia waliingia mkenge wa hawa kenge wachina. Hawa ni watu hatu hatari kabisa wanaweza kukunyang'anya nchi nzima. Siwakubali kabisa hawa wachina
Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Bei za mahitaji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikipigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 percent ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...Eti watch out!!!..Wewe Una fwata mkumbo wakati hata Mama Samia aliweka wazi tulipitia wakati mgumu akaenda mbali kusema tusamehane na kukubali tuliteleza wewe hujui chochote !!..Beberu ndio anakupa madawa,Elimu na makazi Bora, Nguo alafu nini?!!...
Tulikua sehemu Ngumu hili liko wazi sana!!.. Unadhani ilikua Sawa mtu kuchukua Marafiki zake kuwapa ubunge bila ridhaa ya Wajumbe wa Chama,Je Daraj la Ubungo kulikua na haja Gani kulipa jina la Rafiki yake!!..Au kule Burigi wanyama wapo?!!..
Nacheka Yani huoni Hali ilivyobadirika!!..Unaona unavyo andika bila tatizo la Mtandao!!..Umeona Uwekezaji kwenye Soko la Hisa ulivyopanda!!..Umeona Sekta ya Utalii japo kuna Corona lakini tunaanza kupanda.. Nadhani wewe sio Mtanzania!!..Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Being za mahitsji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikioigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...
Umelala usingizi gani mkuu?.Ndiyo kwasababu upanuzi unaendelea mfano bandari ya Tanga kuna itakuwa inasafirisha mafuta ya Uganda sasa kwanini isikuzwe hii ? Bandari ta Dar imeanza kupanuliwa kuanzia wakati wa Magu . Mtwara inapanuliwa zaidi. Ingepeza kama utajibu maswali yangu
Kabisa ndio ukweli wenyewe 100% mood ya watanzania wengi ukiwasikiliza hasa vijana hawana sababu ya kupiga kura uchaguzi wa 2025 kama mama ataendelea.Duh...aisee...hahahahaha...TZ Kuna vituko aisee...nadhani tumerogwa...eti tulikuwa kwenye kipindi kigumu?! Una maana sasa tupo kwenye kipindi Cha neema?! Dah...bila Shaka wewe una petrol station na unapata mafuta ya wizi...Kama tuko vizuri manung'uniko ya Nini mitaani na majumbani? Tuko vizuri kivipi? Ajira zimeongezeka?! Bei za mahitaji muhimu zimepungua? Acheni ulimbukeni nyie...wewe unadhani kura zikipigwa Leo matokeo yatakuaje...nakuthibitishia kuwa uchaguzi ukifanyika leo 70 percent ya wapiga kura hawatakwenda kupiga kura...na watakaokwenda kupiga kura CCM itapata probably 51 per cent ..the lowest of all time...
Kama wewe hutopiga Kura Sisi tutapiga ni fahari iliyoje kumpigia Kura mtu ambae anafanya Kazi tuliyomtumaKabisa ndio ukweli wenyewe 100% mood ya watanzania wengi ukiwasikiliza hasa vijana hawana sababu ya kupiga kura uchaguzi wa 2025 kama mama ataendelea.
Mama ana muda wa kubadili upepo ila strategy aliyoanza nayo aijapokelewa vizuri.
Mjinga kwa sababu nimekataa kuwa upande wa yule muuaji na mporaji wa mali na haki za watu?Ujinga huondoka pindi unapokubali kuwa mwanafunzi
unataka kuendelea kuwa mjinga siyo?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mjinga kwa sababu nimekataa kuwa upande wa yule muuaji na mporaji wa mali na haki za watu?
Wewe mpumbavu acha kuamini ujinga wa mtu mmoja,ni nini kinakufanya uamini huo mkataba kwamba una vipengele vya kipuuzi kama hivyo mnavyoaminishwa na serikali imekubali? Mbona mnageuzwa maboya kiasi hicho ndugu!Sijawahi kuona mtu mjinga kama wewe. Hivi unaweza kulinganisha mikataba ya manunuzi ya ndege na ujenxi wa bandari?
Basi tusene wanunuzi wa ndege walikula 30% na hawa wa bandari hawajala kitu;. Kati ya hai wawili unadhani nani anatutia hasara.
Ndege ni zetu hata kama kuna watu waliku;a cha juu lakini bandari sio yetu kea miaka 99. Hata wajukuu zako hawataifaidi hiyo.
Wapinzani wanapewa kesi za ugaidi na uhujumu uchumi Mungu tusaidie.Hivi Tanzania Kuna upinzani kweli?
bandari ya bagamy ni utpia, never happenChina yenyewe kwa sasa imeelemewa na madeni
Tatizo ni kuwa Mama amezungukwa na mijitu isiyoona mbali na inayopigania maslahi binafsi....Yeye Mama Kama kiongozi wetu mkuu Hana tatizo kabisa...ila anapata pressure kutoka kwa watu ambao wanaona huu ndio wakati wa kutamba kimaslahi...upinzani wa sasa uko ndani ya CCM...kura zikipigwa leo CCM itashinda kwa mbinde...wengi hawatakwenda kupiga kura...na watakaopiga kura CCM itashinda kiduchu...manung'uniko mitaani na majumbani ni makubwa mno...Kabisa ndio ukweli wenyewe 100% mood ya watanzania wengi ukiwasikiliza hasa vijana hawana sababu ya kupiga kura uchaguzi wa 2025 kama mama ataendelea.
Mama ana muda wa kubadili upepo ila strategy aliyoanza nayo aijapokelewa vizuri.
Ukweli mtupuTatizo ni kuwa Mama amezungukwa na mijitu isiyoona mbali na inayopigania maslahi binafsi....Yeye Mama Kama kiongozi wetu mkuu Hana tatizo kabisa...ila anapata pressure kutoka kwa watu ambao wanaona huu ndio wakati wa kutamba kimaslahi...upinzani wa sasa uko ndani ya CCM...kura zikipigwa leo CCM itashinda kwa mbinde...wengi hawatakwenda kupiga kura...na watakaopiga kura CCM itashinda kiduchu...manung'uniko mitaani na majumbani ni makubwa mno...
Huoni aibu wewe!Kuna watu waliamini kila kinachosemwa na Magufuli na ukionesha kutilia shaka ukweli wa hicho kilichosemwa unaambiwa wewe sio mzalendo yaani mtu anataka uamini kila kilichosemwa na huyo mtu kama vile wewe kichwani huna ubongo! Nasema Hapana.
Siwezi kuona aibu kupinga uongo wa mtu muongo anayetafuta sifa kwa kuchafua wenzake na kujiona ni Mungu mtu kwamba ni yeye tu anayeweza,mtu wa namna hiyo ni ibilisi.Huoni aibu wewe!