Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Luhaga Mpina atatusaidiaNaye ana laana ya MAGUFULI?
TUKIO LA AIBU KABISA LILIFANYIKA JUZI PALE MLIMANI CITY. CCM WALIWAALIKA WEZI, WALA RUSHWA NA MAGENDO WOTE ILI WAKICHANGIE CHAMA KISHINDE UCHAGUZI AIBU
CHADEMA WALICHANGISHANA TONETONE WAKAAMBIWA WANAENDA KUNUNULIA MPOX NA EBOLA.. Tukasema sawa
Haya na ile michango ya wala RUSHWA, NA WAUZA MADAWA YA KULEVYA JUZI?
CCM AIBU, KUPOKEA PESA ZA WAPIGA DILI ILI KIINGIE MADARAKANI
Kuna ubaya gani wavuvi haramu kuchomewa nyavu zao?Huyu aliyekuwa anachoma nyavu za wavuvi na kupima samaki Kwa rula, labda Kanda ya ziwa lako.
Uko sahihiMkuu SHIDA ya wasukuma, huwa wanachagua chama SIO MTU, mpina anpigwa asubuhi saaana labda mkoa WA mara HAO huwa wanamisimamo
Full stop, kwishaaa
Tulieni dawa iwaingieSa100 hamna kitu pale, ila Mpina naye hafai...sulihisho sahihi ilikuwa ni Lissu tu!
Labda anaongelea kanda ya ziwa rukwa, lakini kama ni kanda ya ziwa Victoria Hana chake huyo mchoma nyavu na vifarangaHuyu aliyekuwa anachoma nyavu za wavuvi na kupima samaki Kwa rula, labda Kanda ya ziwa lako.
Mafisadi mjiandaeLabda anaongelea kanda ya ziwa rukwa, lakini kama ni kanda ya ziwa Victoria Hana chake huyo mchoma nyavu na vifaranga
UKwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji. Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!
Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao. Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.
Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia