GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa tume ipi?

Kwa Wasukuma wapi?

Kwa chama kipi?

➡️➡️➡️ Haiwezekani.

Wa kumpa shida mama japo kidogo ni TAL tu na ndiyo maana wamemng'ang'ania. Hawa akina Mwalimu, Mpina sijui nani huko mama anapita nao mapema tu hata bila kutekenya tallying machines za INEC...
 
Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina

Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji. Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!

Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao. Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.

Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia

2025 hakuna uchaguzi
 
Kwa tume ipi?

Kwa Wasukuma wapi?

Kwa chama kipi?

➡️➡️➡️ Haiwezekani.

Wa kumpa shida mama japo kidogo ni TAL tu na ndiyo maana wamemng'ang'ania. Hawa akina Mwalimu, Mpina sijui nani huko mama anapita nao mapema tu hata bila kutekenya tallying machines za INEC...
Mpina angekubalika kuliko tundu lisu tatizo 2025 hakuna uchaguzi wowote ni wapumbavu wachache tu ndiyo watapiga kura na wengine kulazimishwa kupiga kura mara tatu tatu
 
Mpina angekubalika kuliko tundu lisu tatizo 2025 hakuna 7chaguzi wowote ni waoumbavu wachache tu ndiyo wataoiga kula na wengine kulazimishwa kuoiga kula mara tatu tatu
Tutasimamia shoo
 
Kwa tume ipi?

Kwa Wasukuma wapi?

Kwa chama kipi?

➡️➡️➡️ Haiwezekani.

Wa kumpa shida mama japo kidogo ni TAL tu na ndiyo maana wamemng'ang'ania. Hawa akina Mwalimu, Mpina sijui nani huko mama anapita nao mapema tu hata bila kutekenya tallying machines za INEC...
Mzarau mwiba
 
bibi pisikali malaya
 
Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina

Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.

Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!

Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.

Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.

Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia

Kwahiyo kanda ya ziwa mmegeuka GENGE ALA MACHAWA
 
Huwa siungagi mkono hoja kipumbavu.

Hapa nakuunga mkono mkuu, Mpina anauwezo wakuwa raisi wa nchi na anaakilizakutosha kutambua mapungufu na utatuzi.

Rais wa nchi kwanza yeye kama yeye anatakiwa kuwa na uwezo wa kujua jinsi ya kugundua mapungufu na njia za kudhibiti bila kutegemea wasaidiziwake kwa 100%.
 
We umebanwa na mavi nenda kanye tena kajarishe kabisa
 
Huwa siungagi mkono hoja kipumbavu.

Hapa nakuunga mkono mkuu, Mpina anauwezo wakuwa raisi wa nchi na anaakilizakutosha kutambua mapungufu na utatuzi.

Rais wa nchi kwanza yeye kama yeye anatakiwa kuwa na uwezo wa kujua jinsi ya kugundua mapungufu na njia za kudhibiti bila kutegemea wasaidiziwake kwa 100%.
Huyo ni rais wa washamba wa kisukuma
 
Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina

Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.

Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!

Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.

Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.

Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia

Ht haya huna? Zombie kweli wewe
 
Kwani tatizo ni kumchagua? Tatizo ni kuwa kura hazihesabiwi kwani wameshapanga matokeo. Hivi mnaposikia Chadema wamesusa mnadhani ni wajinga?
 
Back
Top Bottom