GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa tume ipi?

Kwa Wasukuma wapi?

Kwa chama kipi?

➡️➡️➡️ Haiwezekani.

Wa kumpa shida mama japo kidogo ni TAL tu na ndiyo maana wamemng'ang'ania. Hawa akina Mwalimu, Mpina sijui nani huko mama anapita nao mapema tu hata bila kutekenya tallying machines za INEC...
Yaani nikupe ruzuku ya kuendesha kampeni halafu unishinde.
 
Mpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
Hilo mpina analijua sana, sema alijua kwenye ubunge kupita ACT hatatoboa ccm itatumia kila hila kuakikisha anaangushwa na akishapigwa chini ndio hivyo stering kafia kwenye maua kwahiyo akaona agombee urais ambao anajua kabsa hawezi kushinda lkn kuna matumaini kwa kula za Zanzibar na kuna ruzuku itakayopatikana kwahiyo mpina ataendelea kupata bonus takribani kwa muda wa miaka 5, hesabu zake ziko hivyo au anaweza kuteuliwa tena na ccm kwa nyazifa nyingine.
 
Hiyo tathimini imefanywa na nani kama siyo majungu bwana kuweni watu wa uhalisia mpina awe rais wa nani au rais wa wasukuma na mang'ombe yao??
 
Maana yake mabilionea waliochangia CCM hawatalipa kodi wala tozo wala ushuru wala ada za serikali. Viwanja wanavamia bila ya maneno na watalindwa na polisi bila kuguswa
JPM alisema MTANIKUMBUKA!!
Ndiyo maana yake
 
Back
Top Bottom