Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
- #41
FafanuaMhhh
FafanuaMhhh
Safi kabisa modsKwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.
Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!
Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.
Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.
Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia
Issue sio kuhama chama. Je kuna wanachama wangapi wa CCM hawamkubali Mama?Uko sahihi
Hadi sasa wanuulize Mpina wanachama wangapi wa kanda ya ziwa wamehamia ACT wazalendo kumfuata Mpina ?
Wasukuma huchagua Chama sio mtu
Bwege Mpina apambane na Hali yake
Wamakua pia huchagua Chama sio mtu ndio maana mmakua Bernard Membe walimtosa alipogombea Uraisi akabaki hana watu
Mpina ajiandae kisaikolojia
Subiri moto wakeMpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
sidhani kama kuna chama cha kuishinda CCM.Japo chadema ilijitahidi 2025 napo kwa kutumia wanamitandao Na wahuni kutoka CCM.Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.
Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!
Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.
Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.
Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia
Kwa tume ipi mkuu?Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.
Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!
Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.
Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.
Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia
Kuna uchaguzi..2025 hakuna uchaguzi
Hata akishinda, kwa tume ipi atatangazwa...Mpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
Nguvu ya wananchi ni kubwa kuliko hiyo tumeHata akishinda, kwa tume ipi atatangazwa...
Mzarau mwiba mguu huota tendasidhani kama kuna chama cha kuishinda CCM.Japo chadema ilijitahidi 2025 napo kwa kutumia wanamitandao Na wahuni kutoka CCM.
ila binafsi sijapenda namna tunavyoweza kubeza watu eti hawatauwezi.Kwani kuna mtu alijua Dauli angeliweza kuliua jitu kama GORIATH
Nyie wenzetu katika imani ni vipi hampendi kusimamia haki na kweli? Kwenu wezi sawa tu, kwenu mafisadi sawa tu, kwenu utekaji ni sawa tu.Huyu aliyekuwa anachoma nyavu za wavuvi na kupima samaki Kwa rula, labda Kanda ya ziwa lako.
Sibishanagi na maanithi wa akiliKuna uchaguzi..
Amka kutoka usingiziniHakuna tena Mama anaweza kutingishwa bila TL kuwepo kwenye uchaguzi.
Mshindani pekee anayeweza kuleta ushindani ni Tundu Lissu hawa wengine wote ni projects tu hizo.
ndani ya mitaa ya Benghazi - Libya.
Kwenda na Mpina ni kwenda na CCM. TUMIA AKILI.Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji.
Wabunge 28 waliokuwa vinara wa kuihoji serikali na kupinga ufisadi bungeni wote wameondolewa bungeni kwa kukatwa majina yao!
Kwa hiyo Rais anataka serikali ya kutohoji iliyojaa ndugu na marafiki ambao anawahamasisha wale kutokana na urefu wa kamba zao.
Wote waliohoji mkataba wa hovyo wa DP World na mikataba mingine ya kinyonyaji kwa taifa wote wanawekewa zengwe na kukatwa majina yao.
Hivyo basi kutokana na ulegelege huu wa Rais Samia hawezi kupewa miaka mingine 5 hivyo kanda ya ziwa tutamchagua Luhaga Mpina ili atusaidie kukata kamba za mafisadi yaliyotengenezwa na kukumbatiwa na Rais Samia
Maana yake mabilionea waliochangia CCM hawatalipa kodi wala tozo wala ushuru wala ada za serikali. Viwanja wanavamia bila ya maneno na watalindwa na polisi bila kuguswaRais Samia--Simbinyi GSM nimemwacha afanye biashara