GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi kabisa mods
 
Issue sio kuhama chama. Je kuna wanachama wangapi wa CCM hawamkubali Mama?
 
Mpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
 
Mpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
Subiri moto wake
 
sidhani kama kuna chama cha kuishinda CCM.Japo chadema ilijitahidi 2025 napo kwa kutumia wanamitandao Na wahuni kutoka CCM.

ila binafsi sijapenda namna tunavyoweza kubeza watu eti hawatauwezi.Kwani kuna mtu alijua Dauli angeliweza kuliua jitu kama GORIATH
 
Kwa tume ipi mkuu?
 
Mpina anajulikana kisesa tu. Kalikoroga atalinywa Zito mjanja Sana kaona awavute wasukuma kwa kumshawishi Mpina agombee huku akijua hawezi kushinda. Mpina saizi yake ni ubunge tu.
Hata akishinda, kwa tume ipi atatangazwa...
 
Mzarau mwiba mguu huota tenda
 
Huyu aliyekuwa anachoma nyavu za wavuvi na kupima samaki Kwa rula, labda Kanda ya ziwa lako.
Nyie wenzetu katika imani ni vipi hampendi kusimamia haki na kweli? Kwenu wezi sawa tu, kwenu mafisadi sawa tu, kwenu utekaji ni sawa tu.

Huko Mbinguni mtaishia motoni tu
 
Hakuna tena Mama anaweza kutingishwa bila TL kuwepo kwenye uchaguzi.
Mshindani pekee anayeweza kuleta ushindani ni Tundu Lissu hawa wengine wote ni projects tu hizo.

ndani ya mitaa ya Benghazi - Libya.
 
Hakuna tena Mama anaweza kutingishwa bila TL kuwepo kwenye uchaguzi.
Mshindani pekee anayeweza kuleta ushindani ni Tundu Lissu hawa wengine wote ni projects tu hizo.

ndani ya mitaa ya Benghazi - Libya.
Amka kutoka usingizini
 
Kwenda na Mpina ni kwenda na CCM. TUMIA AKILI.
 
Rais Samia--Simbinyi GSM nimemwacha afanye biashara
Maana yake mabilionea waliochangia CCM hawatalipa kodi wala tozo wala ushuru wala ada za serikali. Viwanja wanavamia bila ya maneno na watalindwa na polisi bila kuguswa
JPM alisema MTANIKUMBUKA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…