Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

Sio makamu pekee, hata Rais wa Iran anamuomba Ayatola wasiishambulie Israel

Israel alishatuma meseji kumtungua Rais aliepita na kiongozi wa Hamas
 
Hao ni wapiga domo wanaoshinda vibarazani na smartphones

Kulikuwa na kelele nyingi baada ya Rais wa Iran kutunguliwa angani kipi kimefanyika ??

Kulikuwa na kelele nyingi baada ya kiongozi wa Hamas kutunguliwa Iran kipi kimefanyika ??

Message sent and delivered !!

Rais wa sasa na makamu wa Rais aliejiuzulu wanalinda maisha yao wanapaza sauti Israel isishambuliwe, wanajua kilichowakuta wenzao waliotangulia
 
We unamjua nani huyo anaye ongea huyo alikuwa ambassador wa Iran na yupo katika watu wa karibu na na siasa ya Iran.

Kipigo kinakuja tu.
 
We unamjua nani huyo anaye ongea huyo alikuwa ambassador wa Iran na yupo katika watu wa karibu na na siasa ya Iran.

Kipigo kinakuja tu.
Rais na Makamu wa Rais usiwaone wajinga wanavyopaza sauti, Wanakwepa kilichowakuta wenzao Rais aliepita na kiongozi wa Hamas akiwa Ardhi ya Iran.

Inabidi wapige kelele kweli kweli zisikike mpaka Israel ili kupata kibali cha kuendelea kupumua bila stress.

Nafasi ya makamu wa Rais ipo wazi kwa siku nne, Uoga wa kutunguliwa !!
 
Hizo ni bla bla tu Rais wa Iran kafa kwa accident na kama kwa boom basi ni serekali ya Azerbaijan ndio wamehusika sio Israel. Haniya kauliwa kwa njama za badhi ya wa Iran kushirikiana na Mossad ndio hicho kichapa atapokea asiguse tena Iran.
 
Hizo ni bla bla tu Rais wa Iran kafa kwa accident na kama kwa boom basi ni serekali ya Azerbaijan ndio wamehusika sio Israel. Haniya kauliwa kwa njama za badhi ya wa Iran kushirikiana na Mossad ndio hicho kichapa atapokea asiguse tena Iran.
Hadi leo Iran hawajui chanzo halisi kilichotokea, Ni kwamba Israel ilitumia Teknolojia ambayo wairan bado hawaijui.

Helikopta ilishambuliwa asubuhi, Jeshi la Iran likisaidiwa na wataalam wa Uuturuki walilijitahidi waliitafuta sana wakaipata usiku.

Majuzi tu hapo Israel wamebonyeza kitufe, Kiongozi wa Hamas akiwa eneo lenye ulinzi mzito Iran kawa History
 
Israel hana loloteni firimbi zenu tu, mwenye nguvu haji kusaidiwa na USA na Western.
 
Israel hana loloteni firimbi zenu tu, mwenye nguvu haji kusaidiwa na USA na Western.
nimekutwanga facts nzito mpaka umekosa cha kubisha 😃😃

Russia anamsaidia Iran Silaha ?
 
Hahaha we una umri hata wa miaka 15 kweli? Accident inaweza kutokea saa yeyote ile we hujawahi ona Ma Bus yanafatana manne au matano moja halifiki kwa sababu ya Accident kwa hio hapo Israel kalishughulikia hilo basi au sio.

Hio ya kusema Death to America.
na Israel miaka wanasema sio kwa ajili ya hio Accident.
 
Endelea kujifariji,

Baada ya Rais kutunguliwa kwenye chopper aliefata ni rafiki yake Kiongozi wa Hamas akiwa Iran eneo lenye ulinzi mkali, Kabooom !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…