njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Nishawahi kilemba cha Ayatolah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio makamu pekee, hata Rais wa Iran anamuomba Ayatola wasiishambulie IsraelYote anayo ongea ni ujinga mtupu wapi Hezbullah alijitenga na Hamasi, huyu anatafuta umarufu tu ndio sababu Iran wakamuambia awachie ngazi. Kwanza hicho cheo cha vice presdent Iran ni kama picture tu, anaye julikana pale ni Rais na Waziri wa Mambo ya nje.
Ujumbe wa Iran hu hapa, kipigo kina kuja kina kuja tu.Sio makamu pekee, hata Rais wa Iran anamuomba Ayatola wasiishambulie Israel
Israel alishatuma meseji kumtungua Rais aliepita na kiongozi wa Hamas
Ujumbe wa Iran hu hapa, kipigo kina kuja kina kuja tu.
View: https://x.com/M_B_H_N/status/1823845605036204054?t=uDYrvW_Gh52Ofw_XpW-fEQ&s=19
We unamjua nani huyo anaye ongea huyo alikuwa ambassador wa Iran na yupo katika watu wa karibu na na siasa ya Iran.Hao ni wapiga domo wanaoshinda vibarazani na smartphones
Kulikuwa na kelele nyingi baada ya Rais wa Iran kutunguliwa angani kipi kimefanyika ??
Kulikuwa na kelele nyingi baada ya kiongozi wa Hamas kutunguliwa Iran kipi kimefanyika ??
Message sent and delivered !!
Rais wa sasa na makamu wa Rais aliejiuzulu wanalinda maisha yao wanapaza sauti Israel isishambuliwe, wanajua kilichowakuta wenzao waliotangulia
Rais na Makamu wa Rais usiwaone wajinga wanavyopaza sauti, Wanakwepa kilichowakuta wenzao Rais aliepita na kiongozi wa Hamas akiwa Ardhi ya Iran.We unamjua nani huyo anaye ongea huyo alikuwa ambassador wa Iran na yupo katika watu wa karibu na na siasa ya Iran.
Kipigo kinakuja tu.
Hizo ni bla bla tu Rais wa Iran kafa kwa accident na kama kwa boom basi ni serekali ya Azerbaijan ndio wamehusika sio Israel. Haniya kauliwa kwa njama za badhi ya wa Iran kushirikiana na Mossad ndio hicho kichapa atapokea asiguse tena Iran.Rais na Makamu wa Rais usiwaone wajinga wanavyopaza sauti, Wanakwepa kilichowakuta wenzao Rais aliepita na kiongozi wa Hamas akiwa Ardhi ya Iran.
Inabidi wapige kelele kubwa sana zifike mpaka Israel, Wanalinda maisha yao.
Nafasi ya makamu wa Rais ipo wazi kwa siku nne, Uoga wa kutunguliwa !!
Hadi leo Iran hawajui chanzo halisi kilichotokea, Ni kwamba Israel ilitumia Teknolojia ambayo wairan bado hawaijui.Hizo ni bla bla tu Rais wa Iran kafa kwa accident na kama kwa boom basi ni serekali ya Azerbaijan ndio wamehusika sio Israel. Haniya kauliwa kwa njama za badhi ya wa Iran kushirikiana na Mossad ndio hicho kichapa atapokea asiguse tena Iran.
Israel hana loloteni firimbi zenu tu, mwenye nguvu haji kusaidiwa na USA na Western.Hadi leo Iran hawajui chanzo halisi kilichotokea, Ni kwamba Israel ilitumia Teknolojia ambayo wairan bado hawaijui.
Helikopta ilishambuliwa asubuhi, Jeshi la Iran likisaidiwa na wataalam wa Uuturuki walilijitahidi waliitafuta sana wakaipata usiku.
Majuzi tu hapo Israel wamebonyeza kitufe, Kiongozi wa Hamas akiwa eneo lenye ulinzi mzito Iran kawa History
nimekutwanga facts nzito mpaka umekosa cha kubisha 😃😃Israel hana loloteni firimbi zenu tu, mwenye nguvu haji kusaidiwa na USA na Western.
Hahaha we una umri hata wa miaka 15 kweli? Accident inaweza kutokea saa yeyote ile we hujawahi ona Ma Bus yanafatana manne au matano moja halifiki kwa sababu ya Accident kwa hio hapo Israel kalishughulikia hilo basi au sio.Kwenye Msiba wa Rais wakati anazikwa kelele zilipigwa "Death to Israel" kuashiria kulipiza kisasi
View: https://x.com/IranNuances/status/1793148755925197097
Israel ina teknolojia ya juu sana kwenye mambo ya anga, Kwenye msafara wa helikopta tatu za jeshi la Iran waliiteka ndege ya Rais iliyokuwa katikati kwa namna ambayo Iran haijaweza kujua mpaka leo.
Hii inaitwa kimya kimya style juu kwa juu mkuu, unabonda unatulia !!
Kutoka wikipedia hii,
Forty-five minutes into the flight, the pilot of Raisi's helicopter, who was in charge of the convoy, ordered other helicopters to increase altitude to avoid a nearby cloud. After 30 seconds of flying over the cloud, the pilot of Esmaeili's helicopter noticed that Raisi's helicopter, which was flying between the two others, had disappeared.
Endelea kujifariji,Hahaha we una umri hata wa miaka 15 kweli? Accident inaweza kutokea saa yeyote ile we hujawahi ona Ma Bus yanafatana manne au matano moja halifiki kwa sababu ya Accident kwa hio hapo Israel kalishughulikia hilo basi au sio.
Hio ya kusema Death to America.
na Israel miaka wanasema sio kwa ajili ya hio Accident.
Nilimpigia simu Webabu akasema ana kikao nao!