Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

Tunategemea mara baada ya tamko la Padri Kitima jumapili hii makanisa na vigango vyote vya wakatoliki vitafungwa na hakutakuwa na misa ili kuwakinga mapdri, masister na waumini kwa ujumla na hili janga ili waonyeshe mfano wa wao kama taasisi na kanisa wanavyojali na kupambana na hili janga
 
Acheni kuwatishia watu na hilo shirika lenu la kijasusi,nchi yetu haina dini,na ndo maana mtu wa dini yeyote anaweza kuwa rais.kama unaisifia dini kama inaweza kuleta madhara basi hiyo sio dini ya
 
Hao hao unao wasifu Kanisa Katoliki ndio wanao mpa Baba la Baba kipaza sauti kanisani kujaza watu ujinga. Wasinge mpa awe sawa na waumini wengine. Jamaa ana majukwaa mengi ya kujitangaza. Aache kanisa tunao kuja kuabudu tutoke na upako wetu.
Ati tumuombe Mungu corona ita ondoka. Hivi mbona usiku tuna muomba Mungu atulinde lakini nyumba tunaweka mageti ya chuma na makifuli?
Si muache nyumba wazi mseme Mungu ana zilinda?
 
Kwa hiyo kumiliki guest house ni dhambi kwa mujibu wa aya gani?
 
Sio siku hizi.kanisa katoliki linafanya biashara mbalimbali mahoteli ya kiafahari ulaya na amerika miaka mingi.wanamiliki hisa kwenye makampuni ya kimataifa,hospital,shule futilia shule zinazofanya vizuri. ndio maana wameendelea kuneza injili ,kutoa misaada kwa wahitaji.Yesu mwenyewe alipiga mvinyo So what?
 
Kupambana na Corona ni kufunga kanisa tu?
Waache kulalamika mapadri wanakufa huku wakiendelea kukusanyika kwenye misa. Wafunge kama walivyofanya vatcan na marekani.
 
Huu ndio ushahidi unaoutumia kukashifu waislamu zaidi ya milioni 25 Tanzania? Kweli?
Sijasema wote
Niambie kwanini huyu shekhe wa dar alikuwa anaongozana na makonda kila sehemu, na baada ya makonda kukaa bench alimponda kwa maamuzi yake na urafiki wao umeisha kwa Sasa ?
 
Hakuna asiejua UKRISTO ndio unatawala dunia
 
Unaonekana una akili sana hadi umewazidi wazazi wako mkuu.
 
SASA KAMA SIYO VIOJA NINI??? KANISA LILISHATOA MUONGOZO KWA WAUMINI WAKE NAMNA YA KUJIKINGA NA CORO MAPEMA MWAKA JANA, BUT STILL MAKASISI NA MASISTA WAMEKUFA KWA KUSHINDWA KUPUMUA. INA MAANA MAPADRE HAWAKUTII MUONGOZO WA KANISA??? MKIAMBIWA MUOMBENI MUNGU AEPUSHE JANGA HILI MNAMCHUKIA RAIS. aslani haitasaidia kuchukia serikali ni lazima kumrudia mungu, lakini kwa tabia hizi za kumfananisha MUNGU NA HIRIZI MMECHEMKA KANISA
 
kwa taaarifa yako katoliki ni taasis sio tu kanisa.
mkulu mwenyewe hawez tamka chafu mbele ya taasis kama catholic.
ya kanisa yabaki kanisani na siasa zibaki siasa
Muulize why Magu ili apitishwe ccm ilibidi arudi kanisa catholic alipokuwa hayupo kitambo akitangatanga kwenye makanisa ya kipentekoste? catholic ni mafia hawa, ni zaidi ya serikali hao!!
 
Ukitoa kanisa katoliki ni sawa na umetoa zaidi ya 60% ya huduma za kijamii kama elimu,afya,vituo vya watoto,vijana n.k ikiwa ni pamoja na kuondoa ajira kwa watu wengi mno.Unaweza ukafikiri ni jambo jepesi lakini lina madhara sana juu ya uchumi wa nchi.Pili nguvu ya kanisa katoliki duniani ni kubwa mno.Kuanzia mashirika ya kijasusi,NGOs mbalimbali hata nguvu za kijeshi na kidiplomasia ambazo zote zipo chini ya Pope kama kiongozi mkuu, Vatican.Jaribu kujiuliza ni kwanini mataifa makubwa na yenye nguvu kama USA yanaonyesha ushirikiano sana na Vatican.Ni kwasababu wanatambua nguvu ya kanisa katoliki.Serikali haiwezi kuwa juu ya kanisa katoliki hata siku moja.Kanisa likiamua rais aachie kiti chake hakuna anayeweza kuzuia.Ushahidi wa kutosha upo kuhusu viongozi wakuu walioenda kinyume na kanisa na kuvuliwa ufalme wao.Kumbuka King Henry IV na Pope Gregory VII. Pope alimexcomunicate na kutamka kumvua ufalme na ikawa hivyo.Nguvu ya ushawishi wa viongozi wa kanisa ni kubwa kuliko ushawishi wa viongozi wa kisiasa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…