Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

Kwani ukisema ALLAH au MINGU utofauti wake ni nn...?

Mbona mnajitoa akili namna hiyo...?
ukisema allah, ni mungu wa kiarabu ambaye shetani anadanganya watu waamini ni lugha tu ya kutaja Mungu ila ni yuleyule, kumbe ukweli ni kwamba yule aliye allah na yule Mungu wa Israel ni vitu viwili tofauti.

1. mmoja alifukuza mashetani na yeye ni mtakatifu mashetani kwake hayang'ai, mwingine (allah) kitabu chake kinaruhusu kufuga majini na wanasema majini wanaabudu nayo, wakati upande ule mwingine majini yanakemewa na kukimbia.

2. mwingine anaamrisha tusamehe, mwingine (allah) anaruhusu jihad, kukata vichwa watu kwa kisu

3. mwingine anaahidi uzima wa milele kwa watakatifu, mwingine anaahidi mabikra 72.

na mengine mengi, hapo utasema huyo ni Mungu mmoja au changa la macho kwa huyo mwingine, utaabudu shetani bila kujijua.
 
Holland wapiga marufuku kujifunga matambara kichwani maeneo ya kazi
 
Kwa kweli huo ni muujiza, lakini halihusiani na hilo ulilosema kwamba Palestina inalindwa kiroho!
Mpaka sasa hivi watoto takribani 4, 500 wamekufa! Jumla ya wapalestina 15, 000 wamekufa! Majumba karibia yote yamefanywa magofu?
Palestina imelindwa kiroho kivipi?
 
Basdhi ya wakiristo watz wa jf wakisikia wanaumia sana
Usipate shida wameongelewa ktk quraan watajitia upofu ukiziwiwi nk kama Mungu mwenyewe hajakuongoa haina ujanja, fikilia Abulahab alikuwa akishuhudia nini kwa mtume na hakuamini. You need to say Alhadulilah for being a Muslim.
 
Kwa kweli huo ni muujiza, lakini halihusiani na hilo ulilosema kwamba Palestina inalindwa kiroho!
Mpaka sasa hivi watoto takribani 4, 500 wamekufa! Jumla ya wapalestina 15, 000 wamekufa! Majumba karibia yote yamefanywa magofu?
Palestina imelindwa kiroho kivipi?
Acha kuamini habari zinazoletwa na waislam 90% ni uongo au habari imejaziwa na uongo.. uongo katika uislam ni sehemu ya ibada kumfurahisha Iblisi wao aliye silimu baada ya kumuingia mtume wao Mudy. Ushahidi upo
 
Kwa kweli huo ni muujiza, lakini halihusiani na hilo ulilosema kwamba Palestina inalindwa kiroho!
Mpaka sasa hivi watoto takribani 4, 500 wamekufa! Jumla ya wapalestina 15, 000 wamekufa! Majumba karibia yote yamefanywa magofu?
Palestina imelindwa kiroho kivipi?
Eti muujiza! Kwahiyo nawe mkuu umeamini kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipate shida wameongelewa ktk quraan watajitia upofu ukiziwiwi nk kama Mungu mwenyewe hajakuongoa haina ujanja, fikilia Abulahab alikuwa akishuhudia nini kwa mtume na hakuamini. You need to say Alhadulilah for being a Muslim.
Duh! Dini zinatia uzombi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukisema ALLAH au MINGU utofauti wake ni nn...?

Mbona mnajitoa akili namna hiyo...?
Allah ni mfitini muuaji na mtengeneza magaidi.

Mungu ni mwema mwenye huruma mponyaji na mwenye kurehemu na anasamehe.

Allah ni mkulima wa mihogo huko makka
 
sio ajabu, Mungu anawapenda pia wapalestina, hakuruhusu huyo mtoto afe. ila sio allah, ni Mungu wa israel, allah alivyo katili asingekubali huyo mtoto aendelee kubaki hai, labda kama ni mtoto jini kama vile visharifu vinavyozaliwa vinajua aya zote na havijawahi kwenda shule. majini yale sio watu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Kwa akili ya kawaida tu binadamu havuki siku 4 akikosa maji na chakula.

Ila hata kama ni muujiza.............kwa vumbi la siku 37 chini ya kifusi cha matofali mmeshindwa kutumia hata macho na akili ya kawaida kujiuliza kwanini mtoto huyu ni msafi kama vile katoka kuogeshwa na kikoi chake ni kisafi hakina hata vumbi ?
Angekuwà mtu mzima inaingia akili ,Kwa sababu anaweza kuwa anakula hata mende,anakunywa mkojo ...mtoto mchanga tunadanganyana!
 
Wapalestina wa bonyokwa ni waongo hivi aisee, hii video nimeiona leo asubuhi katika account za media za palestina. Wakatafsiri in english kua huyu mtoto ana siku 39 toka azaliwe. Hapo wamemwokoa baada ya masaa matatu ya nyumba yao kupigwa kombora. Na wakasema wazazi wote wa mtoto wamekufa hapohapo. So huyo mtoto empona na hiyo ni masaa matatu tuu toka washambuliwe nyumba yao. Usithubutu tena kudanganya maana wengine instagram yetu sasa tunawaangali media za palestina na wana habari zao so ukidanganya tuu tutajua
Wapelestina wa Bonyokwa!
 
Kwa akili ya kawaida tu binadamu havuki siku 4 akikosa maji na chakula.

Ila hata kama ni muujiza.............kwa vumbi la siku 37 chini ya kifusi cha matofali mmeshindwa kutumia hata macho na akili ya kawaida kujiuliza kwanini mtoto huyu ni msafi kama vile katoka kuogeshwa na kikoi chake ni kisafi hakina hata vumbi ?

Mwenyezi Mungu ni mkubwa, mweza wa kila kitu

Vipi umeshalima mahindi?
 
roho gan inamlinda mtu aliyeyatafuta matatizo walikuwa wanashangilia kuuawa kwa waisrael na kutekwa kwa watz wetu

Ikiwezekana hata wewe nenda israel kama hawatakuacha salama hao mayahudi wenzio, na inavyoonekana haijakuuma kuuawa kwa waislamu, ila imekuuma kuuawa kwa mtanzania, pole sana.

I stand with Palestine 🇵🇸
I stand with Hamas
 
Back
Top Bottom