Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Endeleeni kujifariji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
editing ilipuuzwa mkuu si unajua tena harakaharaka za kutoa song director mkuu allah aliwaambie magaidi walitoe song haraka ili lipate kiki 🤣 🤣Kwa akili ya kawaida tu binadamu havuki siku 4 akikosa maji na chakula.
Ila hata kama ni muujiza.............kwa vumbi la siku 37 chini ya kifusi cha matofali mmeshindwa kutumia hata macho na akili ya kawaida kujiuliza kwanini mtoto huyu ni msafi kama vile katoka kuogeshwa na kikoi chake ni kisafi hakina hata vumbi ?
Kinyume chake ndio kinatokeaUlivyo na chuki dhidi ya Uisilamu, na utakonda sana. Sisi tunakill wanajeshi, na yeyote anaesapoti israel anastahili kuuawa
ila we bibi nime kudharau mno yaani picha ya kutengeneza hii (photoshop) una tumia kama kielelezo cha kusapoti upupu wako emb ona hata aibu ptuuuBora umeuweka hyu uzi tutawawekea maajabu yanayotokea huko Ghaza:
Tazama ajabu nyengine hii, mateka wa kizayuni anambusu kichwa kwa heshima mpiganaji wa Kipalestina wakati wanamkabidhi kwa red cross:View attachment 2827995
Wanaotengeneza picha mazayuni.ila we bibi nime kudharau mno yaani picha ya kutengeneza hii (photoshop) una tumia kama kielelezo cha kusapoti upupu wako emb ona hata aibu ptuuu
oya nyie vitukuu vya mnyaaazi Ritz kimsboy Malaria 2 green rajab embu msaidieni bibi enu kutofautisha picha halisi na picha duka
Hayo maswali hujiuliza watu wasioamini katika Mungu.Kwa akili ya kawaida tu binadamu havuki siku 4 akikosa maji na chakula.
Ila hata kama ni muujiza.............kwa vumbi la siku 37 chini ya kifusi cha matofali mmeshindwa kutumia hata macho na akili ya kawaida kujiuliza kwanini mtoto huyu ni msafi kama vile katoka kuogeshwa na kikoi chake ni kisafi hakina hata vumbi ?