Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

Kwani ukisema ALLAH au MINGU utofauti wake ni nn...?

Mbona mnajitoa akili namna hiyo...?
ukisema allah, ni mungu wa kiarabu ambaye shetani anadanganya watu waamini ni lugha tu ya kutaja Mungu ila ni yuleyule, kumbe ukweli ni kwamba yule aliye allah na yule Mungu wa Israel ni vitu viwili tofauti.

1. mmoja alifukuza mashetani na yeye ni mtakatifu mashetani kwake hayang'ai, mwingine (allah) kitabu chake kinaruhusu kufuga majini na wanasema majini wanaabudu nayo, wakati upande ule mwingine majini yanakemewa na kukimbia.

2. mwingine anaamrisha tusamehe, mwingine (allah) anaruhusu jihad, kukata vichwa watu kwa kisu

3. mwingine anaahidi uzima wa milele kwa watakatifu, mwingine anaahidi mabikra 72.

na mengine mengi, hapo utasema huyo ni Mungu mmoja au changa la macho kwa huyo mwingine, utaabudu shetani bila kujijua.
 
Holland wapiga marufuku kujifunga matambara kichwani maeneo ya kazi
 
Kwa kweli huo ni muujiza, lakini halihusiani na hilo ulilosema kwamba Palestina inalindwa kiroho!
Mpaka sasa hivi watoto takribani 4, 500 wamekufa! Jumla ya wapalestina 15, 000 wamekufa! Majumba karibia yote yamefanywa magofu?
Palestina imelindwa kiroho kivipi?
 
Basdhi ya wakiristo watz wa jf wakisikia wanaumia sana
Usipate shida wameongelewa ktk quraan watajitia upofu ukiziwiwi nk kama Mungu mwenyewe hajakuongoa haina ujanja, fikilia Abulahab alikuwa akishuhudia nini kwa mtume na hakuamini. You need to say Alhadulilah for being a Muslim.
 
Acha kuamini habari zinazoletwa na waislam 90% ni uongo au habari imejaziwa na uongo.. uongo katika uislam ni sehemu ya ibada kumfurahisha Iblisi wao aliye silimu baada ya kumuingia mtume wao Mudy. Ushahidi upo
 
Eti muujiza! Kwahiyo nawe mkuu umeamini kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipate shida wameongelewa ktk quraan watajitia upofu ukiziwiwi nk kama Mungu mwenyewe hajakuongoa haina ujanja, fikilia Abulahab alikuwa akishuhudia nini kwa mtume na hakuamini. You need to say Alhadulilah for being a Muslim.
Duh! Dini zinatia uzombi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukisema ALLAH au MINGU utofauti wake ni nn...?

Mbona mnajitoa akili namna hiyo...?
Allah ni mfitini muuaji na mtengeneza magaidi.

Mungu ni mwema mwenye huruma mponyaji na mwenye kurehemu na anasamehe.

Allah ni mkulima wa mihogo huko makka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Angekuwà mtu mzima inaingia akili ,Kwa sababu anaweza kuwa anakula hata mende,anakunywa mkojo ...mtoto mchanga tunadanganyana!
 
Wapelestina wa Bonyokwa!
 

Mwenyezi Mungu ni mkubwa, mweza wa kila kitu

Vipi umeshalima mahindi?
 
roho gan inamlinda mtu aliyeyatafuta matatizo walikuwa wanashangilia kuuawa kwa waisrael na kutekwa kwa watz wetu

Ikiwezekana hata wewe nenda israel kama hawatakuacha salama hao mayahudi wenzio, na inavyoonekana haijakuuma kuuawa kwa waislamu, ila imekuuma kuuawa kwa mtanzania, pole sana.

I stand with Palestine 🇵🇸
I stand with Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…