Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

editing ilipuuzwa mkuu si unajua tena harakaharaka za kutoa song director mkuu allah aliwaambie magaidi walitoe song haraka ili lipate kiki 🤣 🤣
 
Bora umeuweka hyu uzi tutawawekea maajabu yanayotokea huko Ghaza:

Tazama ajabu nyengine hii, mateka wa kizayuni anambusu kichwa kwa heshima mpiganaji wa Kipalestina wakati wanamkabidhi kwa red cross:View attachment 2827995
ila we bibi nime kudharau mno yaani picha ya kutengeneza hii (photoshop) una tumia kama kielelezo cha kusapoti upupu wako emb ona hata aibu ptuuu
oya nyie vitukuu vya mnyaaazi Ritz kimsboy Malaria 2 green rajab embu msaidieni bibi enu kutofautisha picha halisi na picha duka
 
Wanaotengeneza picha mazayuni.

Watu watengeneze hiyo picha ili iweje?
 
Hayo maswali hujiuliza watu wasioamini katika Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…