Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

Propaganda za ktaka kuuleta mifarakano tu. we mbona hatujawahi kukuona kwenye frontline yoyote.
Kaxi kulaumu tu. Makamu myekiti yuko nje, karibu mkuu vijana yuko mahabusu
Top cream yote ilikuwa mahabusu ulitaka nani aorganize kile unachokita

Kwenye Frontline ya wachumia tumbo ama?

Jibu hoja, walisema hawaondoki Mwanza hata wakifungwa wote. Mbona wamerudi makwao na wanaendelea na maisha yao. Hili la ugaidi limewakimbiza wote yaan
 
Back
Top Bottom