Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

Zikiwekwa account ya taasisi ipi?
Akina nani walikuwa signatories?
Nani alikuwa anaomba zitumike?
Nani alikuwa ana authorize maombi?
 
Hahahaha mamaee TFF sasa wanaingia katika mtego wa jiwe . hiyo barua yao ni sawa na kusema raisi ni muongo. Huyo raisi wa TFF ajiandae kuulizwa uraia wake halisi na cheti cha bibi mzaa babu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namashaka pia isije ikawa mtu anatafutwa,arafu nikama tff wanamvimbishia pombe,Sasa sijui maana Ni vita ya ma rais wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa mbona kama clifford anatindiganya mambo
1. Anakubali kuwa kuna bilioni zilizotolewa na Rais kwenda TFF
2. Anakanusha kuwa hazijaingizwa kwenye akaunti za TFF. Kama anajua kuna hela ya Rais iliyokwenda TFF, atuambie alijuaje kuwa kumeenda hela huko na aliyeipokea hiyo hela hapo TFF ni nani mpaka akiri kuwa kweli TFF ilipewa pesa na Rais.
3. Atuambie kama ni kosa kisheria za mpira kwa taasisi hiyo kupokea fedha za misaada na kuziingiza kwenye akaunti zao hivyo wanalazimika fedha za misaada kutumika juu kwa juu.
 
Huyu jamaa anataka kutuambia kuwa muheshimiwa aliahidi alafu hakutoa? Kwamba muheshimiwa alichukua tu ujiko mbele ya kamera alafu akapiga kimya, mbona anamkosea adabu mkuu namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hawajapokea watasema nani kapokea, haiwezekani uombe upewe pesa alafu useme hujapokea na aliyekupa alishatoa mfukoni mwake zije kwako, kwa nini usimpe taarifa mapema kuwa "mzee ile pesa niliona umetoa ila sijaipata" wewe unasubili mpaka mwenyewe aulize ndipo ukurupuke mmh! Shabashi..!
 
Nahisi mkuu wa kaya hakutoa ule mpunga, aliahidi tu majukwaani so TFF wameamua kumwaga mboga, ila wamesahau yale maneno.. 'watch out, not to that extent......., Karia atakalia msumari wa moto muda si mrefu, mkuu wa kaya kumfanya muongo? Sasa hivi tutajua uraia wake na tutajua kumbe naye ni mhujumu uchumi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana mkuu wa TAKUKURU Kaongea na katibu wa huko TFF katoka kujibu sasa hii mikanganyiko ni TAKUKURUkukurupuka au Magufuli hakutoa hela yoyote maana naona TFF kama wana hoja
 
Back
Top Bottom