Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Takukuru wanajua mchezo wote,ila nani wakumgusa mkulu?mkulu mwenyewe yuko "mbochi"yaani ACHA TUCHATI,mano likwelikwe"TFF wanataka kutuambia Mkuu wa Kaya alitoa ahadi hewa?
Sizani Kama hii pesa amekula mtu Ila ahadi ilikua hewa pesa haikutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namashaka pia isije ikawa mtu anatafutwa,arafu nikama tff wanamvimbishia pombe,Sasa sijui maana Ni vita ya ma rais wawili.Hahahaha mamaee TFF sasa wanaingia katika mtego wa jiwe . hiyo barua yao ni sawa na kusema raisi ni muongo. Huyo raisi wa TFF ajiandae kuulizwa uraia wake halisi na cheti cha bibi mzaa babu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wewe tusubiri tu ..tujionee yajayo yatakavyo kuwa yanafurahisha kuna MTU anahamu ya kwenda kujoin na kina lugemarila kule seloMimi namashaka pia isije ikawa mtu anatafutwa,arafu nikama tff wanamvimbishia pombe,Sasa sijui maana Ni vita ya ma rais wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app