Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

Kuna aliyepinga uwekezaji? Hoja ilikuwa nini? Please focus
 
Ni sawa na kusema mliokuwa mnawapigia wezi kelele mbona hatwasikii wakati wezi waliposikia kelele wamekimbia kwenda kujipanga upya.

Kwa taarifa yako hao DP World walitumika tu kama affiliation, lakini huo mkataba ulikuwa ni wa watanzania wenzetu kwa mgongo wa DP World. Wameona kelele zimekuwa nyingi ndio wameenda kujipanga.

Hiyo Tender waliotangaza ndio hao hao waliokuja na deal la DP World. Hapo wanataka kutupoteza maboya wakidhani tumelala.
 
Chawa Lord denning haujawahi hata kuusoma ule mkataba wa IGA, ajabu una kiherehere kila siku kuutetea, uache ule mkataba ujitetee wenyewe.
Tatizo la watu mliomuamini sana hayati JPM ni kuwaona wote wanaomuamini SSH kuwa ni Chawa, mnaumia sana mioyoni kuona watanzania wengine wakimuunga mkono kiongozi wanayempenda.

Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuwaita nyinyi Chawa wa Magufuli, sio uchaguzi mzuri wa maneno ya kutumia.
 
Ile ya kuuza kwa waarabu wa dubai hakufanyika tangazo la tenda. Watu wakaendelea na ganji zao kuuza nchi
 
Usidhani hilo jambo limefanyika kizembe. Tumia akili
 
DP ilishindanishwa na nani? Na kimsingi tunapinga aina ya mkataba wa kishenzi.

Hii spinning yenu imefeli, tunalikumbusha kanisa katoliki kuwakumbusha maparoko wote waraka uendelee kusomwa kwenye parokia zote kwa wiki tano mfululizo.
Hapakuwa na sababu ya kumshindanisha na mtu yoyote. Anamiliki meli 400 zinazozunguka dunia nzima, nitajie mshindani wake mwenye wingi wa meli zenye kufikia angalau nusu tu ya hizo 400.

Anaendesha bandari za Uingereza, China na Ulaya nzima, ni mzoefu sana wa end to end logistic chain ambayo kisasa ndio maana mpya ya neno PORT.

Kwa suala la vigezo kawazidi wengi sana. Kanisa limechemka vibaya kuja na waraka wakati walikuwa hawajui kwa kina malengo ya serikali ni yapi.
 
Tanzania will inform Dubai hajasema Shall Inform Dubai, hapo hulazimishwi kutii matakwa ya mwekezaji. Na hicho kifungu hakiizuii Tanzania kutafuta mwekezaji mwingine kwa ajili ya magati namba 8 mpaka 11.
Unadhani kwanini kuna kipengele hicho unachofikiri hakina maana? Hii nchi ina wajinga wengi sana
 
Conspiracy ya kitanzania, maneno ya kusikia mitaani ambayo hayana ukweli wowote.
 
"Bandari imeuzwa" maana yake nini?
 
Sikia, hi hivi sisi hatumtaki DP World? yaani ni hivi ata alete mitambo yake ajue hatafanya kazi kwa amani
 
Ni wajinga tuu wale nyumbu na mbumbumbu
 
Mnajitahidi kupindua meza😂😂😂😂 waraka ndo umefanya tenda itangazwe unaisi Kila mtu ni mjinga sio kwani iga ilkua inasemaje?
 
Hata hii mikataba leo hii tunayolipishwa kwenye mahakama za kimataifa tulipiga kelele na mkasema hatuelewi. Leo hii kila kesi tunalambishwa mchanga. Tunawajua nyie ni wezi msio na akili.
Usikariri jana ukadhani na kesho itakuwa hivyo hivyo. Nyinyi wenye akili mnaishia kuzeeka mkilialia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…