Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

Kwa uchaguzi gani tena jamani NRNE sahau kuhusu kura bila mabadiliko
 
1. Lisu
2. Gwajima
3. Samia
Katika vitu sitamsamehe Lissu to the grave ni kususia uchaguzi na hivyo kukosa sifa za ugombea!! Haki huyu mama mmempa zawadi ambayo hakuitarajia!! Kama matusi ya Lissu yalimlaza Magufuli na viatu huyu mama angefia jukwaani!! Hizi fools errands za akina Lissu zimewaponza!!
 
Hivi kwanini hamgundui tu kuwa hii ni staged? Kwanini mnaingia mtegoni kirahisi hivi
 
Mtanisamehe wakina mama, ila Tanzania ipate funzo kwa vizazi na vizazi, kwa nchi yetu ni bado sana kuongozwa na hii gender ♀️
 
Katika vitu sitamsamehe Lissu to the grave ni kususia uchaguzi na hivyo kukosa sifa za ugombea!! Haki huyu mama mmempa zawadi ambayo hakuitarajia!! Kama matusi ya Lissu yalimlaza Magufuli na viatu huyu mama angefia jukwaani!! Hizi fools errands za akina Lissu zimewaponza!!
Sasa wagombee wapate nini,mbona kwenye serikali za mitaa hawajapata chochote???
Tanzania uchaguzi ni upumbavu,mara 100 wakati wa kikwete awamu ya 2.
Magufuli aliharibu hii nchi kisiasa,waliopo wanatembea na model yake na wasipokuwepo watu wa kuikatiza itabaki hivyo hivyo bora Lissu amewa alert.
 
Ukweli ni kuwa with free na fair election Rais SAMIA hata ukimuweka kugombea na Mimi,Lazima mimi nitashinda kwa dababu zifuatazo:-
1.Hakuna Mtanzania bara anaweza asinipigie Mimi kura ampigie Rais SAMIA Mzanzibar huu ni ukweli.
2.Hakuna Mwanaume anaweza mpigia kura Mwanamke awe kiongozi wake,nadema tena hakuna na bado hata hao wanawake wenyewe hawawezi mpigia kura mwanamke mwenzio maana hawaamini katika mwanamke kuongoza.
 
Back
Top Bottom