Nani kasusia uchaguzi mafuvi yenu magumu kuelewaKatika vitu sitamsamehe Lissu to the grave ni kususia uchaguzi na hivyo kukosa sifa za ugombea!! Haki huyu mama mmempa zawadi ambayo hakuitarajia!! Kama matusi ya Lissu yalimlaza Magufuli na viatu huyu mama angefia jukwaani!! Hizi fools errands za akina Lissu zimewaponza!!
Lisu!1. Lisu
2. Gwajima
3. Samia
morakoze chane chaneUchaguzi mzuri ni wa haki na Amani so kura yangu itaenda kwa anaipigania aki na usawa anaekemea vitendo vya kikatili vinavyoifanya jamii inaishi kwa wasiwasi si mwingine GWAJIMA