Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

Uchaguzi mzuri ni wa haki na Amani so kura yangu itaenda kwa anaipigania aki na usawa anaekemea vitendo vya kikatili vinavyoifanya jamii inaishi kwa wasiwasi si mwingine GWAJIMA
 
Upige kura Ili iweje?

Kwa Tume ipi?

Bila TUME HURU YA UCHAGUZI kupatikana, uchaguzi batili utayeyuka.

The good thing is,

Reforms zitafanyika na CDM itashiriki uchaguzi.

Imagine CDM iwe na Polepole, Lissu,Lema, Mpina nk nk,

Mshindi anatabirika.
 
Nani kasusia uchaguzi mafuvi yenu magumu kuelewa
 
Uchaguzi mzuri ni wa haki na Amani so kura yangu itaenda kwa anaipigania aki na usawa anaekemea vitendo vya kikatili vinavyoifanya jamii inaishi kwa wasiwasi si mwingine GWAJIMA
morakoze chane chane
 
Bila mabadiliko ya tume ya uchaguzi, kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki hio Haina uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…