Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana?
Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana!
Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili!
Piga kura yako tuone mawazo ya watu angalau hapa JF
Angalizo:
Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana!
Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili!
Piga kura yako tuone mawazo ya watu angalau hapa JF
Angalizo:
- Huruhusiwi kubadili jibu lako ukishapiga kura
- Open poll, majibu yataonwa na kila mmoja
- Kuona matokeo lazima upige kura!
- Zoezi litadumu siku 5