Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

MKUU UMEKURUPUKA MNO.SIDHANI KAMA MEMBE ALIKUWA SERIOUS NA UCHAGUZI HUU KAMA UNAVYOFIKIRIA,YULE JAMAA HATA KWA KUONGEA UNAMJUA NI MTU SMART NA ANAJUA ANACHOKIFANYA
Simply Membe sio mwanasiasa, huyu mkurupukaji anaona raha kuanzisha mada kila siku zisizo na mantiki yoyote simply because anajua kuandika maneno mengi anajiona ndie mchambuzi bobevu, kumbe hamna kitu, uchambuzi feki wake umejaa hisia tupu.
 
Wewe ndo umekurupuka..mtu smart hawezi kuacha kuwa serious kwa kile anachokifanya..how comes you are smart and you are making a foolish decision?? He is completely fool!
Ulichokiandika ndicho hata mimi nimemwambia hivyo hivyo! Mtu smart anapimwa kwa matendo yake na sio maneno yake!
 
Kushinda kura kwa kutumia majeshi na gov't machinery sio jambo la kujisifia na kutamba hata kidogo.

Ni suala la muda tuu kama tulivyo kwisha ona madikteta wengi walivyo kuja ondoka madarakani eitha kwa aibu, kwenda jela au kuuwawa.

Yuko wapi Mugabe, Doe, Gaddafi, Mubarak, Bokassa, Nguema au Saddam?

Walikuwa wanatamba hadi watoto wao na jamaa zao lakini waliishia kufa kifo kama cha mbwa. Shinda uchaguzi kama wa Ghana hakuna mwenye kukulalamikia.

Na tambua ya kuwa Lissu ameanza kupata world recognition ambayo itamtesa sana dikteta uchwara wenu.
 
Haahaa hili la barabarani kafeli, limebaki la kutokubali kuibiwa.Kuingizwa barabarani na wapinzani siwezi kuingia, mwisho wa siku wanatulizwa na vyeo ili wapige marupurupu Kama alivyofanya babu seif hapana
Fikiria kama uliteguliwa miguu kwa kumpigania Mdee na kundi lake au Maalim Seif na kundi lake!

Kila siku nasema, ''Wajinga kama kina ''Mdude Chadema'' ndio waliwao!
 
You are very ignorant, ignorant means una iq kubwa sana lakini.

Hujawahi kumsifia baba yako au mama kwa kukuleta na kukutunza hapa duniani badala yake unasifia upupu tupu wa uchafuzi.
 
Alimhadaa Maalim kuwa watazuia majeshi toka Tanganyika yasiende Zanzibar hivyo maalim atashinda safari hii.
Maalim Seif kwa sasa ana uzoefu wa siasa za Tanzania!
 
kwa membe umezingua, membe kwenda upinzani ilikua mission ya kutimiza shughuli za kikachero na ndo maana ACT walipomshtukia wakamtenga
Hawa ACT-Wazalendo ambao leo ni sehemu ya serikali unasema walimshtukia na kumtenga!

Nadhani huzijui siasa za Tanzania!
 
Haahaa Membe ni kachero aliyemteka zitto kijanja Sana, mzee wa dk 89.Lissu tungekuwa na tume huru leo tungesema mengine, Kuna sehemu kijijini jamaa alizidiwa na jpm kura 5, jamaa wakabidi wampe 5 hizohizo lissu sasa
Naam kama uchaguzi ungekuwa credible tungekuwa na mtu mwingine pale Ikulu
 
Kushinda kura kwa kutumia majeshi na gov't machinery sio jambo la kujisifia na kutamba hata kidogo.
Ni suala la muda tuu kama tulivyo kwisha ona madikteta wengi walivyo kuja ondoka madarakani eitha kwa aibu, kwenda jela au kuuwawa.
Yuko wapi Mugabe, Doe, Gaddafi, Mubarak, Bokassa, Nguema au Saddam?
Walikuwa wanatamba hadi watoto wao na jamaa zao lakini waliishia kufa kifo kama cha mbwa. Shinda uchaguzi kama wa Ghana hakuna mwenye kukulalamikia.
Na tambua ya kuwa Lissu ameanza kupata world recognition ambayo itamtesa sana dikteta uchwara wenu.
Jielimishe;
 
your very ignolant, ignolant means una iq kubwa sana lkn,
Hujawahi kumsifia baba yako au mama kwa kukuleta na kukutunza hapa dunian badala yake unasifia upupu tupu wa uchafuzi
Yani unataka alete mada ya kumsifia babaake na mamaake hapa jukwani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bange siyo nzuri
 
your very ignolant, ignolant means una iq kubwa sana lkn,
Hujawahi kumsifia baba yako au mama kwa kukuleta na kukutunza hapa dunian badala yake unasifia upupu tupu wa uchafuzi
Mkuu;
Wewe umewahi kumsifia baba na mama yako halafu ukaja hapa kutueleza kuwa umewasifia?

By the way, wewe unaumia nini kwa mimi kuwasifu au kutowasifia wazazi wangu?

Jikite kwenye hoja, hayo ya kutowasifia wazazi wangu niachie mimi!
 
Membe alikuwa hagombei Urais bali alipandikizwa na CCM wakitegemea atagawa kura za wapinzani. Kwa Tundu Lissu tumeona kilichofanyika kwenye uchaguzi ule. Kimsingi haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la kura.
 
Membe alikuwa hagombei rais bali alipandikizwa na ccm wakitegemea atagawa kura za wapinzani. Kwa Tundu Lisu tumeona kilichofanyika kwenye uchaguzi ule. Kimsingi haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Una ndoto nzuri sana kaka Ila tatizo lako ni kwamba unaota halafu unachelewa kuamka kufanyia kazi ulicho ota kama kinawezekana kutimia. Siku ukiamka kwenye huo usingizi utakuwa umepona huto buluzwa tena na wanasiasa.
 
Unajifariji huku ukweli unaujua ile ni level nyingine, bila kupindua meza jiwe alishaaibika, kila mtu analijua hilo, Maandamano yalizuiwa na polisi
Usijidanganye ndugu yangu polisi hawana uwezo wa kuwazuia mamia ya raia walio choka na kuamua kuandamana kwa dhati ya mioyo yao, hawawezi kaka.

Watu waliwadharau na hawakuona sababu wala muda wakupoteza kufanya maandamano yasiyo na maana.
 
October 28th ule haukuwa uchaguzi - Tanzania haikufanya uchaguzi bali kikundi cha watu wachache wenye madaraka walijichagua wenyewe na kujipitisha bila ridhaa ya watanzania - Tume iikuwepo tu pale kutakatisha zoezi zima - Harama kuwa Halali.
 
Usijidanganye ndugu yangu polisi hawana uwezo wa kuwazuia mamia ya raia walio choka na kuamua kuandamana kwa dhati ya mioyo yao, hawawezi kaka.

Watu waliwadharau na hawakuona sababu wala muda wakupoteza kufanya maandamano yasiyo na maana.
Iddy Amini aliua watu hapo Uganda mpaka akachoka, je raia wa nchi hiyo kwa kutokuandamana hawakuwa wamemchoka, mpaka Jeshi la Tanzania lilipowakomboa?
 
Back
Top Bottom