Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,969
- 3,392
Mkuu umekurupuka mno, sidhani kama Membe alikuwa serious na uchaguzi huu kama wanavyofikiria. Yule jamaa hata kwa kuongea unamjua ni mtu smart na anajua anachokifanya.
Membe alidhamiria sana. Membe aliamini yeye ndio alipaswa kumrithi JK. Na kwasababu mali na mazagazaga mengi waliotwaa bila uhalali, yalirudishwa, hasira zikamtuma aonyeshe yeye ni nani. Gharama yake ni kutolewa CCM. KIfuatacho ni njaa kuingia kwenye mji. Na njaa haina adabu. Inadhalilisha.
Wahenga wanasema, hasira za mkizi huwa furaha ya mvuvi.