Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

Kiasi gani unalipwa kuandika gazeti lote hili!? Ujinga huu ungeandika kwenye haki ungekuwa na maana ila kwa uchaguzi huu, hiki ulichoandika ni utopolo tu. Labda ndio kazi inayokuweka mjini kama musiba na vikaratasi vyake.
 
Kwenye mitandao ya kijamii kukaanzishwa alama ya reli (hashtag) inayosema ''Twende na Membe''! wapambe na mashabiki wakamjaza ''ujinga''!
Wapambe hao wakiongozwa na Mshana Jr na kundi lake. JF hatari sana.
 
Umetumia muda wako vibaya sana! hakuna mtanzania mwenye akili timamu asiyejua kuwa kuwa "kura ziliibwa"! hata kama Watzanzania wamekaa kimya, msifikiri kuwa hawajui kama mpo madarakani kwa wizi wa kura! kaeni kimya tu muda wenu uishe kama mtajisikia kuondoka madarakani hewala, kama mta apply u M7 hewala! Hizo ngonjera zingine hakuna anayewaelewa, na Lissu anajulikan kuwa aliwagalagaza mapema tu!
 
Tatizo aliwaona Watanzania kama wajinga walipokuwa wanamshangilia akadhani ameshakuwa Rais wa Tanzania kwa kudhani akiwaambia lolote watafanya!
Wewe hujui kama viongozi wa upinzani walikamatwa kabla ya kuanza maandamano?
 
Kweli ile ni level nyingine kwa wasiyozijua siasa za Tanzania au wale wajinga!
Unajifariji huku ukweli unaujua ile ni level nyingine, bila kupindua meza jiwe alishaaibika, kila mtu analijua hilo, Maandamano yalizuiwa na polisi
 
Kweli ile ni level nyingine kwa wasiyozijua siasa za Tanzania au wale wajinga!
Unajifariji huku ukweli unaujua ile ni level nyingine, bila kupindua meza jiwe alishaaibika, kila mtu analijua hilo, Maandamano yalizuiwa na polisi
 
Kweli ile ni level nyingine kwa wasiyozijua siasa za Tanzania au wale wajinga!
Lisu ana kiburi na dharau sana, hako ka elimu kake na ka kiingereza kake akawaona Watanzania mataahira tena mabogus kabisa na wao wakasema wewe ndio bogus tena mshenzi tu na tutakuonesha pumbavu zako [emoji23][emoji23].....na kweli bana tarehe 28 November wakamuonesha kama jinsi walivyosema wao
 
Usijidanganye ndugu yangu polisi hawana uwezo wa kuwazuia mamia ya raia walio choka na kuamua kuandamana kwa dhati ya mioyo yao, hawawezi kaka.

Watu waliwadharau na hawakuona sababu wala muda wakupoteza kufanya maandamano yasiyo na maana.
Nadhani ulichokisema wanakijua lakini wanajaribu kujifariji ili ionekane hawakushindwa kuhamasisha maandamano!
 

Nashangaa et wapo kushangilia uharifu wa namna Hii.
 
Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kwa 100%.... Nakuambia TL angekuwa president of this national.....

Wapo wanashangilia Kwa kushindwa Kwa TL wamesahau siku matokeo yanatoka kila mtu alikuwa na huzuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…