Mkuu umekurupuka mno, sidhani kama Membe alikuwa serious na uchaguzi huu kama wanavyofikiria. Yule jamaa hata kwa kuongea unamjua ni mtu smart na anajua anachokifanya.
Membe alidhamiria sana. Membe aliamini yeye ndio alipaswa kumrithi JK. Na kwasababu mali na mazagazaga mengi waliotwaa bila uhalali, yalirudishwa, hasira zikamtuma aonyeshe yeye ni nani. Gharama yake ni kutolewa CCM. KIfuatacho ni njaa kuingia kwenye mji. Na njaa haina adabu. Inadhalilisha.
Wahenga wanasema, hasira za mkizi huwa furaha ya mvuvi.
Baba na mama yako ndio Mungu 2 dunian kwaiyo unapoona aibu kuwasifia mahali popote na bado kuna unaowabudu na kuwasifia mahali popote bac wewe hutofautian na aliyemtazama baba yake akiwa uchi akalaniwa . ni mistar hiyo ipo kwne biblia kwa nuhu