Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

Pascal Mayalla,
Oh No! Are you serious?
Ukweli uliothibitika ni upi ?
You and I know hakuna pesa iliyolipwa sijui millioni ni kwamba wameshikwa pabaya
I see una roho ya kisasi
Mrudie Mungu kwa kweli
Leo umethibitisha ulimuuza mwenzio uliomba mabaya yamkute
Omba sana roho hiyo ikutoke
Ungekaa kimya kwa unafiki huu 'you are evil'

Asante Petro E. Mselewa umemjibu vyema
 
Ukweli uliothibitishwa ni kukiri makosa ya ML & Tax Evation.
kama ukweli ni kwamba amenunua uhuru wake kwa manufaa yake binafsi basi amewanyima watanzania fursa ya "Judicial Precedence" ama "hukumu elekezi" kwa watakao mbabikizwa kesi za ML. Kwa kifupi hoja ya kununua uhuru inamchafua haimjengi
 
uKWELI
 
Yaani mimi ninajiuliza swali moja tu, kama EK alikuwa na ukwasi wa mamilioni kiasi hicho alicholipa ili kuwa huru, na kuna tetesi kuwa mama yake alifariki kwa kukosa huduma baada ya mwanae kukamatwa, hizo 100ml+ zilishindwa kumpatia huduma huyo mama au ni wasamaria wema wamemchangia EK?
 
Mayalla, wala huwezi kujinasua na janga hili la Kabendera. Kuna kitu kinaitwa EXTORTION... google na soma conspiracy theory zake. Huyu akienda marekani kama waliokimbi utawala huu, atakuwa huru kusema ukweli na bado utakuwa implicated katika kumchoma!
Kabendela sasa ana dhambi ya kukiri uongo, lkn kwa kunasua maisha yake Mungu ataliamua hili kwa utashi wake!
 
Nilikuheshimu sana lakini sikujua kama una kiwango cha chini hivi cha busara. Pole, kwa kudhani sisi ni wajinga wa kuanza kuamini maigizo ya serikali ya kifedhuli ya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal, wewe ndie ulienifanya mimi nikajiunga JF na nlikuwa nakuheshimu sana. Ila natangaza tena kama nlivyowahi kutangaza hapo kabla, sikuheshimu kamwe na nlidhani kweli wewe ni mtu Bora ila hufai kutokana na mengi uliyoyaandika humu.
Same here. I used to have so much respect for him. I quickly realised he is a weak, mchumia tumbo man, full of hyprocrisy. By the way Paschal, wewe sio mzalendo. You are just scared of what the people in power could do to you if you dared write anything that your morals and education stand for. This is why I am never surprised by your articles here. So much as* licking.
 
Ni ukweli gani wa Erick umebainika? Kukiri makosa ya uongo ili ajinasue na mdomo wa mamba?
 
Na hilo hata kwenye hii thread amelithibitisha. Alimuogopa bwana yule na kumuacha Maxence Melo kwenye mataa kule US juu ya Melo kufight ili yeye aongee na media.

Anyway, wacha tu nimshkuru maana right now nkiwa na stress naenda kusoma kula tunda kimasihara
 
A very weak man. Halafu watu kama Pascal ndio wako mstari wa mbele kueneza their crooked thoughts to the uneducated mass. Imagine people like him, supposedly educated are the fall of this nation. He is the same as Kabudi, Slaa, Mtatiro, Mashinji etc, educated but not really learnt anything. What a waste. Someone once said "In Tanzania, some of the most educated people, are also some of the most stupidest people".
 
Hiyo mil 100 pesa ndogo sana.kuna watu walimchangia.Ndio maana Mama Erick alilaani sana uonevu Aliofanyiwa mwanawe na kupata presha kwa kuwa Eric ndo tegemeo,inaonekana wengine sio wakwasi kiivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…