Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!


Kwanza naona unakimbia kivuli chako/ hoja yako, nimekuuliza vikosi vya Monusco zaidi ya 17000 navyo kushindwa kuleta amani wameingiza siasa kwenye majeshi yao hujajibu???

Majeshi ya Kenya, Uganda na Sudani Kusini kushindwa kuleta amani na kufurushwa nao wameingiza siasa kwenye majeshi yao??? Hujajibu???

Unajua ila unajitoa akili tu kuwa Paul Kagame ni kibaraka/puppete wa magharibi kuwauzia madini, ni michezo tu ya kisiasa kujifanya wanamwekea vikwazo ila ni mtu wao huyo!!
 
Mkuu usijisumbue na hao nyumbu, watakuchosha akili bure tu.
 
Machadema akili zenu hazina akili
 
Kwani Monusco wapo kule kuwazuia M23? Hujui SADC walienda kwa kazi gani kule?

Nimekwambia Kenya, Uganda na Sudan Kusini walifukuzwq na Serikali ya Congo ila SADC wame terminate mission kutokana na kufeli kwa mission husika! So hujaelewa nini?

Kagame angekuwa puppet asingewekewa vikwazo na hao magharibi.

So weka hoja zako vizuri.
 
Ili kuelewa kinachoendelea DRC inabidi kufuatilia kwa makini historia kabla ya uhuru wa nchi za Africa Mashariki, Historia ya nchi za Afrika Mashariki baada ya uhuru, Vita vya Kagera, mwanzo wake na mwisho ulikuwaje? Chimbuko la Mseveni, Kagame, Rwigema, Kiiza Besijje, David Oyite Ojok, Launent Kabila, Joseph Kabila umalizie na M23.
Anzia hapa:

121.791 Aufrufe · 2.129 Reaktionen | Ka little history on the Congo war and the involvement of Kagame. Don't be cheated he has his fingers deep in this confusion going on in Congo. Forget... | By Wake Up Zambia | Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…