Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine wakamla bure
👉 basi Ile hela nikaenda nikanunua mahitaji yangu ya ndani
1.Nikaanza nikanunua washing mashine nikatia ndani(manual mashine)
2.Brenda(napenda sana juice za matunda)
3.Nikanunua kitanda Sita kwa Sita
4.Nikanunua rice cooker na pressure ndani, oven, heater, na meat burner (huwa napika mwenyewe once once)
5. Mtungi mkubwa wa gesi na plate mbili
👉Ikabaki 1.4 basi nikatoa 6
👉laki Sita nikanunua vifaa baadhi ya kufanyia mazoezi Nikaweka ndani
. (nikitoka mihangaiko napasha)
👉Nilijihusisha sana na one night stand Ila sio nyumba niliyokuwa nikiishi kwenye lodge tofauti
👉Sikutaka kabisa kuwa na mahusiano ya kudumu baada ya wakinga kunikataa nilifocus kwenye kufanya kazi na mazoezi kwa sana, ili nikirudi niwe nimechoka
All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.