Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wakinga hatupendi mwanaume mbabaishaji, pôle sana.!Si kweli feeling zimeshakata kabisa is huyo manzi wa kikinga alishabadirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakinga hatupendi mwanaume mbabaishaji, pôle sana.!Si kweli feeling zimeshakata kabisa is huyo manzi wa kikinga alishabadirika
Usifuate Feeling Fuata Jambo au mwanamke kwa Akili Timamu, usiendeshwe na Hisia.Si kweli feeling zimeshakata kabisa is huyo manzi wa kikinga alishabadirika
Wakati sikuwa na uwezo kweli miaka 7 iliyopita, pia alikuwa bado anasoma Chuo aliniambia nisubiri hadi amalize Chuo lakini alibadilika huko huko huo mwaka wa Tatu Baada ya kukua kukuaAlikuona hauko serious mbabaishaji, wewe kutajiwa mahari kidogo umekimbia.
Vipi utaweza kumtunza miaka yote hiyo mpk kifo kiwatenganishe??
tunazingua Sana wakuu kutupia kila lawama hawa watu kuna wengine sawa Malaya lkn kuna wengine inabidi tu maana miili inataka lkn ndani amna maajabu! we mwanaume anakula chai maandazi mchana ubwabwa maharage usiku chipsi no mazoezi! aaaaah hapo lazima ufeli ebu tujitahidi ili wkt unalaumu uwe kweli unaunguza fuel kwa mkeoMwanamke ni Nyoka.
Wewe Mkinga nakukubari sana kwa kuwapa tag madada wa kikinga big up sana mkuu endelea hivyo hivyo ila waambie wapunguze mahari kule makete kuna toto moja la kikinga sura ya baba nimelielewa sana shepu shepu guu guu nyashiski ipo km yote ila mahari sasa mikono kichwaniRudi tena kawaombe wakupe mke.
Wakinga waelewa sana hawana mambo mengi.!!
Ndio maana now nimetulia binafsi nilikuwa sitaki kuoa dunga embe hawa Mabinti wakubwa wakubwa hawa 27+ nilitaka dogo dogo lakini Sasa hawa dogo dogo nao wanataka mpaka wakamuliwe wakifika umri wa dunga embe 27+ ndo wa0leweUsifuate Feeling Fuata Jambo au mwanamke kwa Akili Timamu, usiendeshwe na Hisia.
Kweli bwana dah!!. Sema nawa challenge hawa vijana, wajue kuishi kibaduniMkuu unazingua sana,,
Mwenye hiyo ID hajui kuzodoa watu mkuu zaidi anawaencourage, maana Fanton Mahal ni mkwasi wa kupindukia kwenye ile nchi.
Hebu na wewe kuwa tajiri kama alivyo yeye
Yaani ni mwendo wa kuwekeza..
Kama ulitumia miaka miwili kupata milioni 3 basi pambana sana mkuu. Na ulitaka kuoa huku huna hata vitu vya ndani?
Pambana mkuu.Vilikuwepo vile basic kwa mwanaume sio rahisi ndani uwe na makoro makoro mengi, na si kwamba Nina maisha mabaya ni ya kawaida tu
😹😹😹Wewe Mkinga nakukubari sana kwa kuwapa tag madada wa kikinga big up sana mkuu endelea hivyo hivyo ila waambie wapunguze mahari kule makete kuna toto moja la kikinga sura ya baba nimelielewa sana shepu shepu guu guu nyashiski ipo km yote ila mahari sasa mikono kichwani
But yeye anajiona mdogo she Is 24 only😹😹😹
Mahari lazima iwe kubwa wanakupa mke atakayekuletea maendeleo na kufanyika baraka kwenye familia yako..!!
Wakinga sisi tuna adabu sana, tunaomba msamaha hata kwa makosa aliyofanya mume, na ni walezi wazuri wa watoto achilia kwenye utafutaji wa pesa.!!
Jitahidi uoe huyo mkinga mkuu, utanishukuru baadae..!
Huyo sio mdogo itakuwa kuna vitu hajavielewa kutoka kwako.!!But yeye anajiona mdogo she Is 24 only
POINTS 3 Swaaafi😀Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine wakamla bure
👉 basi Ile hela nikaenda nikanunua mahitaji yangu ya ndani
1.Nikaanza nikanunua washing mashine nikatia ndani(manual mashine)
2.Brenda(napenda sana juice za matunda)
3.Nikanunua kitanda Sita kwa Sita
4.Nikanunua rice cooker na pressure ndani, oven, heater, na meat burner (huwa napika mwenyewe once once)
5. Mtungi mkubwa wa gesi na plate mbili
👉Ikabaki 1.4 basi nikatoa 6
👉laki Sita nikanunua vifaa baadhi ya kufanyia mazoezi Nikaweka ndani
. (nikitoka mihangaiko napasha)
👉Nilijihusisha sana na one night stand Ila sio nyumba niliyokuwa nikiishi kwenye lodge tofauti
👉Sikutaka kabisa kuwa na mahusiano ya kudumu baada ya wakinga kunikataa nilifocus kwenye kufanya kazi na mazoezi kwa sana, ili nikirudi niwe nimechoka
All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.
Huyo sio mdogo itakuwa kuna vitu hajavielewa kutoka kwako.!!
Mwanzo alilalamika kwamba mimi ni womanizer kwa kuambiwa na Rafiki zake Dah hapo ikawa mtihaniHuyo sio mdogo itakuwa kuna vitu hajavielewa kutoka kwako.!!
Yote umesema kweli ila waambie wale wazee kule makete washushe mahali tukachukue majiko kutoka kwa wakinga nyinyi Wanawake wa kikinga mna pepo yenu ya pekee😹😹😹
Mahari lazima iwe kubwa wanakupa mke atakayekuletea maendeleo na kufanyika baraka kwenye familia yako..!!
Wakinga sisi tuna adabu sana, tunaomba msamaha hata kwa makosa aliyofanya mume, na ni walezi wazuri wa watoto achilia kwenye utafutaji wa pesa.!!
Jitahidi uoe huyo mkinga mkuu, utanishukuru baadae..!
Mwanangu hawa wakinga wako wachache sana dunianiYote umesema kweli ila waambie wale wazee kule makete washushe mahali tukachukue majiko kutoka kwa wakinga nyinyi Wanawake wa kikinga mna pepo yenu ya pekee
Mkuu acha kabisa na wanajua kupenda balaa sasa sijui tu bahati sometimes inakuangukia mtu au namna gani ila sura za BabaMwanangu hawa wakinga wako wachache sana duniani
Huyo wako ndio mwenye sura ya baba bana 😹😹Mkuu acha kabisa na wanajua kupenda balaa sasa sijui tu bahati sometimes inakuangukia mtu au namna gani ila sura za Baba
Mkuu acha kabisa na wanajua kupenda balaa sasa sijui tu bahati sometimes inakuangukia mtu au namna gani ila sura za Baba