Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

Unachungulia fursa Ngosha 😹

Wakinga tunaipenda kkoo, nyie wasukuma mnataka tukachunge ng’ombe tutaweza??
Nop sijawahi kuchunga labda kulima kwetu ni town siku hizi 🤣 akili zangu nikiunganisha na wakinga tutatoa watoto bright sana
 
USIWEKEZE Akili kwa mwanamke Tazama Maisha yako,atachapwa tu hata ufanye nn. umridhishe usimridhishe atachapwa tu.
Ety mwana anasema anakaa lisaa moja na nusu kifuani
 
Kuna msemo mmoja unasema mwanamke hawez Pata pesa na muda kutoka kwa mwanaume mmoja lazima akose kimoja
sio kifuani Tu muda wote huo kuna style kibao mtu alizike nae ahisi yupi duniani kweli na anaishi sio abaki na maswali mengi mwenzio
 
USIWEKEZE Akili kwa mwanamke Tazama Maisha yako,atachapwa tu hata ufanye nn. umridhishe usimridhishe atachapwa tu.
maisha yako huwezi kuyatenganisha na mkeo Mkuu km unaangalia maisha yako basi mpe haki yake
 
Nop sijawahi kuchunga labda kulima kwetu ni town siku hizi 🤣 akili zangu nikiunganisha na wakinga tutatoa watoto bright sana
Rudi tena kawaombe wakupe mke.
Wakinga waelewa sana hawana mambo mengi.!!
 
All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.
Wanawake wasiokua na BBB yaan Bikra 3 hawawezi kukuelewa hata kidogo
 
Binti. Sasa mwanzoni alikua interested Sasa nimemtafuta anasema hayupo ready for mariage
Alikuona hauko serious mbabaishaji, wewe kutajiwa mahari kidogo umekimbia.
Vipi utaweza kumtunza miaka yote hiyo mpk kifo kiwatenganishe??
 
Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3

Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine wakamla bure

👉 basi Ile hela nikaenda nikanunua mahitaji yangu ya ndani

1.Nikaanza nikanunua washing mashine nikatia ndani(manual mashine)

2.Brenda(napenda sana juice za matunda)

3.Nikanunua kitanda Sita kwa Sita

4.Nikanunua rice cooker na pressure ndani, oven, heater, na meat burner (huwa napika mwenyewe once once)

5. Mtungi mkubwa wa gesi na plate mbili

👉Ikabaki 1.4 basi nikatoa 6

👉laki Sita nikanunua vifaa baadhi ya kufanyia mazoezi Nikaweka ndani
. (nikitoka mihangaiko napasha)

👉Nilijihusisha sana na one night stand Ila sio nyumba niliyokuwa nikiishi kwenye lodge tofauti

👉Sikutaka kabisa kuwa na mahusiano ya kudumu baada ya wakinga kunikataa nilifocus kwenye kufanya kazi na mazoezi kwa sana, ili nikirudi niwe nimechoka

All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.
Kama ulitumia miaka miwili kupata milioni 3 basi pambana sana mkuu. Na ulitaka kuoa huku huna hata vitu vya ndani?
 
Back
Top Bottom