Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

Kwa mambo yanayozungumzwa humu ndani kuhusu ndoa, ni heri mtu ukae single aisee.
 
Hyo hela ungenunua kiwanja sa iv kingekuwa kishapanda thamani
 
Kwa mambo yanayozungumzwa humu ndani kuhusu ndoa, ni heri mtu ukae single aisee.
Mwanangu nimekaa single muda mrefu miaka karibu tangu 2017 mzee mpaka Leo miaka ya kujitafuta
 
Mnataka wanawake wa peke yenu mnawawafikisha? wanakojoa? au ndio kuwabana wenzenu hawajui hata msisimuko ipoje,
 
Mnataka wanawake wa peke yenu mnawawafikisha? wanakojoa? au ndio kuwabana wenzenu hawajui hata msisimuko ipoje,
Usijiangaisha kumlidhisha mwanamke, Tazama Maisha yako, na Kingine Pesa Nyingi ya Mahari sio Guarantee.... vijana watachapa tu...Oa Ukiwa unajua.
 
Dah mwanangu bora nikae mwenyewe tu
Usijiangaisha kumlidhisha mwanamke, Tazama Maisha yako, na Kingine Pesa Nyingi ya Mahari sio Guarantee.... vijana watachapa tu...Oa Ukiwa unajua.
 
Ubaya mke mtu kama huyu akiridhishwa nje anaweza Ata kukua il muachane tu
Usijiangaisha kumlidhisha mwanamke, Tazama Maisha yako, na Kingine Pesa Nyingi ya Mahari sio Guarantee.... vijana watachapa tu...Oa Ukiwa unajua.
 
Sasa ulitaka kuoa na hukua na vitu vyoote hivyo ambavyo hata sio vya kuita maendeleo maana ni basics kabisa za kuanzia maisha, ulitaka huyo mke muishi naye vip baada ya kumuoa
Mkuu unazingua sana,,
Mwenye hiyo ID hajui kuzodoa watu mkuu zaidi anawaencourage, maana Fanton Mahal ni mkwasi wa kupindukia kwenye ile nchi.
Hebu na wewe kuwa tajiri kama alivyo yeye
Yaani ni mwendo wa kuwekeza..
 
Hivi story yako isingenoga bila kutaja wakinga lakini 🥹
 
All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.
Wanawake wasiokua na BBB yaan Bikra 3 hawawezi kukuelewa hata kidogo
 
Usijiangaisha kumlidhisha mwanamke, Tazama Maisha yako, na Kingine Pesa Nyingi ya Mahari sio Guarantee.... vijana watachapa tu...Oa Ukiwa unajua.
hapo tutawapigia Sana wake zenu! hakikisheni wanapata Raha ya orgasm hivi hivi mnawaonea dada zetu yaani akikaa na wenzie wanaambizana kinachomkuta kwa waume zao huku yeye anachokumbuka na kunawa shahawa za Baba fulani tu huku nawewe eti unataka awe wa peke yako hapo uongo
 
Lamomy mimi ni msukuma 😁Nawapenda wakinga na wachaga Ila Sasa s ndo hamtaki kuish mwanza nyie ni Daresalaam tu
Hivi story yako isingenoga bila kutaja wakinga lakini 🥹
 
Dah mkuu maneno makali sana
 
Dah mkuu maneno makali sana
poa bhana Mkuu unajua hata wanaume tunazingua hatuwatulizi kisawasawa sio kuwalaumu tu Mimi Nina ushadi mwingi sana ukitaka kumkabishi mkeo kwa wadau Acha kumaliza DK 90 hata siku kazaa utaona tyr kaanza kuchomoka akamalizie huko
 
Mwanangu saa moja na nusu unafanya nini kifuani kwa mwanamke
 
Lamomy mimi ni msukuma 😁Nawapenda wakinga na wachaga Ila Sasa s ndo hamtaki kuish mwanza nyie ni Daresalaam tu
Unachungulia fursa Ngosha 😹

Wakinga tunaipenda kkoo, nyie wasukuma mnataka tukachunge ng’ombe tutaweza??
 
USIWEKEZE Akili kwa mwanamke Tazama Maisha yako,atachapwa tu hata ufanye nn. umridhishe usimridhishe atachapwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…