Nop sijawahi kuchunga labda kulima kwetu ni town siku hizi 🤣 akili zangu nikiunganisha na wakinga tutatoa watoto bright sanaUnachungulia fursa Ngosha 😹
Wakinga tunaipenda kkoo, nyie wasukuma mnataka tukachunge ng’ombe tutaweza??
Ety mwana anasema anakaa lisaa moja na nusu kifuaniUSIWEKEZE Akili kwa mwanamke Tazama Maisha yako,atachapwa tu hata ufanye nn. umridhishe usimridhishe atachapwa tu.
sio kifuani Tu muda wote huo kuna style kibao mtu alizike nae ahisi yupi duniani kweli na anaishi sio abaki na maswali mengi mwenzioMwanangu saa moja na nusu unafanya nini kifuani kwa mwanamke
Brothe Hata ukae 24 Hrs Jua ipo siku atachapwa, iwe unamridhisha au aumridhishi akiamua kuchapwa watu wanachapa frexEty mwana anasema anakaa lisaa moja na nusu kifuani
sio kifuani Tu muda wote huo kuna style kibao mtu alizike nae ahisi yupi duniani kweli na anaishi sio abaki na maswali mengi mwenzio
Ni ukweli mtupu kabisa ni kuishi tu kwa kiasiBrothe Hata ukae 24 Hrs Jua ipo siku atachapwa, iwe unamridhisha au aumridhishi akiamua kuchapwa watu wanachapa frex
maisha yako huwezi kuyatenganisha na mkeo Mkuu km unaangalia maisha yako basi mpe haki yakeUSIWEKEZE Akili kwa mwanamke Tazama Maisha yako,atachapwa tu hata ufanye nn. umridhishe usimridhishe atachapwa tu.
Broo Usimuamini mwanamke, mwanamke ni Nyoka.maisha yako huwezi kuyatenganisha na mkeo Mkuu km unaangalia maisha yako basi mpe haki yake
Rudi tena kawaombe wakupe mke.Nop sijawahi kuchunga labda kulima kwetu ni town siku hizi 🤣 akili zangu nikiunganisha na wakinga tutatoa watoto bright sana
hata mama yako nae nyoka! sema ndioBroo Usimuamini mwanamke, mwanamke ni Nyoka.
Ushari huu usiufuate kwani Huyo mwanamke ana K- ya Dhahabu, au period anatoka AlmasiRudi tena kawaombe wakupe mke.
Wakinga waelewa sana hawana mambo mengi.!!
Mwanamke ni Nyoka.hata mama yako nae nyoka! sema ndio
Binti. Sasa mwanzoni alikua interested Sasa nimemtafuta anasema hayupo ready for mariageRudi tena kawaombe wakupe mke.
Wakinga waelewa sana hawana mambo mengi.!!
Swez rudi tena sahivi natafuta wadogo zaidi yakeUshari huu usiufuate kwani Huyo mwanamke ana K- ya Dhahabu, au period anatoka Almasi
Wanawake wasiokua na BBB yaan Bikra 3 hawawezi kukuelewa hata kidogoAll in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.
Sababu moyo wake ndipo ulipopenda..!!Ushari huu usiufuate kwani Huyo mwanamke ana K- ya Dhahabu, au period anatoka Almasi
Mwanamke ni Bidhaa.Swez rudi tena sahivi natafuta wadogo zaidi yake
Si kweli feeling zimeshakata kabisa is huyo manzi wa kikinga alishabadirikaSababu moyo wake ndipo ulipopenda..!!
Alikuona hauko serious mbabaishaji, wewe kutajiwa mahari kidogo umekimbia.Binti. Sasa mwanzoni alikua interested Sasa nimemtafuta anasema hayupo ready for mariage
Kama ulitumia miaka miwili kupata milioni 3 basi pambana sana mkuu. Na ulitaka kuoa huku huna hata vitu vya ndani?Basi kwasababu siku na uwezo wa kutimiza hiyo milion 3
Nika pambana nikaipata milion Tatu Baada ya miaka miwili ya kusave fedha nikapata wazo niende Sasa kutoa mahari lakini wakati Niko njiani mawazo yakachange roho ikasita nikawaza hivi nigharimike hela nyingi ambapo unaweza oa na wengine wakamla bure
👉 basi Ile hela nikaenda nikanunua mahitaji yangu ya ndani
1.Nikaanza nikanunua washing mashine nikatia ndani(manual mashine)
2.Brenda(napenda sana juice za matunda)
3.Nikanunua kitanda Sita kwa Sita
4.Nikanunua rice cooker na pressure ndani, oven, heater, na meat burner (huwa napika mwenyewe once once)
5. Mtungi mkubwa wa gesi na plate mbili
👉Ikabaki 1.4 basi nikatoa 6
👉laki Sita nikanunua vifaa baadhi ya kufanyia mazoezi Nikaweka ndani
. (nikitoka mihangaiko napasha)
👉Nilijihusisha sana na one night stand Ila sio nyumba niliyokuwa nikiishi kwenye lodge tofauti
👉Sikutaka kabisa kuwa na mahusiano ya kudumu baada ya wakinga kunikataa nilifocus kwenye kufanya kazi na mazoezi kwa sana, ili nikirudi niwe nimechoka
All in All, maisha ya kuishi mwenyewe ni ya kipweke sana. Ila ndo hivo heri uishi peke yako kuliko, kuishi na mtu alafu ukakosa furaha na amani. Na haya maisha nimeishi miaka 5.