Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Kuamua bila mipango ni kukurupuka . Mwangalie kagame ana sera zimefanana na za kwetu. Laki anahudhuria mikutano ya kitaifa isitoshe kwa uchumi wa nchi yake hajavurugana na serikal za nje. Hakuanza kwa kuvurugana na nchi zingine badala yake anajijenga kimya kimya.. akishapata anapunguza misaada.

Ninachosema ni kwamba ..is not about maamuzi, is about wakati. Hii ishu ingefanyika kimya kimya.. tuhakikishe tumevuka lengo mpaka uchumi wa kati then baada ya hapo sasa tunaweza tukapunguza misaada au kuacha kabisa.
Sawa lakin kupanga nikuchagua
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Mwanabodi,
Hakuna asiependa kuishi bila kusali kwa Mungu kuweza kutupa ulinzi wake kwetu sote.
Kuhabarishana ni sehemu pia ya maandalizi ya sala kwa Mungu.

Ondoa hofu, hapa Jamvini hakuna member apendae shida na tabu yy binafsi pamoja na family yake.
Sote tunaipenda TANZANIA yetu.
 
Kuamua bila mipango ni kukurupuka . Mwangalie kagame ana sera zimefanana na za kwetu. Laki anahudhuria mikutano ya kitaifa isitoshe kwa uchumi wa nchi yake hajavurugana na serikal za nje. Hakuanza kwa kuvurugana na nchi zingine badala yake anajijenga kimya kimya.. akishapata anapunguza misaada.

Ninachosema ni kwamba ..is not about maamuzi, is about wakati. Hii ishu ingefanyika kimya kimya.. tuhakikishe tumevuka lengo mpaka uchumi wa kati then baada ya hapo sasa tunaweza tukapunguza misaada au kuacha kabisa.
unasifa zote za kuchukua cheo cha bashite
 
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.

Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.

Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.

Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.

Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
yule mkuu wetu wa kitengo cha fedha ametueleza bungeni hajapokea barua yeyote ya kusitishiwa misaada au katuhadaa
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Unamlilia Mungu huku uawashangilia wanaoliangamiza Taifa?Je huo sio ujinga? je na Mungu yupo tayari kusikia kilio chako?
na bado utaendelea kutaabika sana maana uliyoyatarajia kwa kuchagua upande unaokuhangamiza ndio hayo yanayokuliza.

Ebu angalia na hiki kingine
 
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.

Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.

Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.

Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.

Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Kwa hiyo wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi mkono kinywani?? Are you serious? Je kuwa shoga ndiyo haki za binadamu Mtanzania? Hopeless.
 
View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Kumwambia kila kitu kipi?
 
Kwa hiyo wewe uko tayari kuwa shoga ili mradi mkono kinywani?? Are you serious? Je kuwa shoga ndiyo haki za binadamu Mtanzania? Hopeless.
kwani kuna mtu analazimishwa kuwa shoga, kwani nchi ikiendesha operation dhidi ya ushoga kimya kimya hao wazungu watajua
 
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka nchi za EU na Scandinavia.

Kwa wasiojua nchi hizo huchangia 40% ya bajeti yetu, pia wana mpango wa pamoja wa kuisaidia Tanzania kimaendeleo unaojulikana kama Development Partners Group (DPG) unaohusisha nchi zaidi ya 17 nyingi zikiwa za EU na Scandinavia, UK na US, pamoja na mashirika makubwa matano ya kimataifa, WB, UN, European Commission, ADB na IMF.

Kutokana na mpango huo Tanzania hupokea wastani wa $2.5 billion zaidi ya trillion 6 kila mwaka.

Kutokana na ubabe na kiburi chetu WB wamezuia msaada wao leo Denmark wametunyima msaada na kumzuia balozi wao kututembelea kitendo kinachotafsiriwa kama mwanzo wa kuvunja uhusiano, wanaofuata ni nchi za Scandinavia ambazo ni Sweden, Finland, Norway, Iceland. Canada, Marekani na Uingereza watamalizia. Tutabaki na mchina.

Nchi hizi ni wadau wakubwa wa maendeleo yetu, ni wadau wakubwa kwenye sekta ya madini, utalii, gas nk. Tunapobeza umuhimu wao tutegemee kuzorota kwa uchumi pengine hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya Zimbabwe.
Trump hataki hata kusikia mashoga, angekuwa na uwezo angewateketeza kwemye concentration center huko Sobibor.
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.

Mungu alisha kupatia Akili ikusaidie kufikiri sawasawa ili kujitatulia Matatizo yanayo kuzunguka ,hii Habari ya kumsingizia Mungu hata mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako ni uvivu tu wa kufikiri na kujikatia Tamaa..Matatizo mengi yanayo mzunguka Binadamu yame tengenezwa/kuzalishwa na Binadam na yataondoka kupitia Mwanadamu.

Unaambiwa acha hii kitu ina madhara hausikii ,unaendelea ku'smoke mwisho wa Siku madhara yakijitokeza unaanza kumsingizia Mungu na blah blah za hapa na pale ..
 
Mi sijaeelewa mnafurahia au mnasikitika kunyimwa misaada?
 
Kama hizi habari ni za kweli,it's gonna be horrible. Nakumbuka enzi za mchonga tuliambiwa kila mtu afunge mkanda, naanza kuvuta picha ya empty shelves kwenye maduka yetu(I mean kama hizi habari ni za kweli), naomba Mungu zisiwe za kweli.
Duh! Umesema kweli mkuu. Miezi kumi na nane ya kufunga mkanda iligeuka miaka 18. Kunywa sana uji wa chumvi. Mungu apishe mbali.
 
View attachment 934597
Huyu ndio Zitto msaliti namba moja wa nchi yetu, ndiye anaeichonganisha nchi yetu na jumuiya za kimataifa, je unajua wananongea nn hapo? unajua kuwa asilimia kubwa ya mabalozi na wafanyakazi wa balozi ni majasusi wa nchi yaoo? wanapowapata wasaliti kama hawa ambao wakiwahonga fedha za misaada kwenye majimbo yao basi wanakuwa tayari kuongea kila kitu,
mnafikiri nini zito atakacho mwambia huyo zaidi ya kuomba wasitishe misaada kwa nchi? na ndio maana leo hii ikitokea taarifa ya kunyimqwa misaada basi mtu wa kwanza kuposti taarifa hiyo basi atakuwa ni Zito nakisha shangwe kufuatiwa na wasaliti wenzie.
Kwa hiyo huyu ndiye anayefuatia ? ??
 
Back
Top Bottom