Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Kwa kweli naombea itokee hivi... tupige magoti tuombe wakate misaada yote.. hata wanyama wanajua ni wakati gani watoto wamekua na waende kujitafutia maisha yao.. Please God.. make this happen!

Ww hutaumia maana unaishi huko kwa hao hao wazungu. Rudi nchini uicheze hiyo ngoma unayojidai uko tayari.
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Viongozi wenyewe wanawaombea mabaya raia wao
 
Zitto ndiye aliyezuia wanafunzi wasisome wakipata mimba ndiye anayelaumiwa kukandamiza utawala bora na demokrasia
 
Mijitu mingine bhana,yaani mufanye midhambi yenu makusudi mkishiriana na shetani,halafu mumsubiri Mungu aje awasaidie kwenye matatizo yenu mliyoyatafuta wenyewe,MUNGU NIMJUAYE HAYUPO HIVYO,AMESEMA WAZI WAZI,MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI!
 
Hapo nakuona unavyofurahiiiiii ila usisahau baada ya ESCROW wote walikata misaada na tuliendelea kudunda. Kweli JPM hater mna mambo
 
Mei Mosi mzee alisema CHUNGU CHEUPE.
Isije ikawa ni aina nyingine ya "Kufunga mkanda"
 
We unataka Zitto awe Mzalendo wakati walio madarakani wenyewe sio wazalendo?
 
Sitaingia kwenye mtego huu wa kipumbavu KAMWE!!IWE KWA BAHATI MBAYA AU KWA KUTUMWA,kwani Zitto ndiye aliyeuza madini yetu kwabkuingia mamikataba mabovu!???

Nani msaliti kati ya walioruhusu kukwapuliwa kwa rasilimali zetu huku wao wakineemeka na kuacha wengine wakiwa katika ufukara wa kutupwa????

Eti Zitto ndo anasababisha nchi inyimwe misaada,Zitto ndo anawatuma kuminya Uhuru wa vyombo vya habari na ku-violate haki za binadamu??

Au huwa mnadhani nyie tu ndo mnajua kiingereza kiasi kwamba hayo matamko ya hizo nchi na taasisi za kimataifa sisi hatujui kuyasoma na kuyaelewa?

Tuwekee hapa matamko yote yaliyopelekea kukatiwa au kunyimwa mikopo na misaada na utuonyeshe angalau sentensi moja tu inayothibitisha tuhuma zako!

Wanaoiharibu nchi,wanajulikana vizuri,na wamejaa jeuri na viburi kweli kweli,kiasi kwamba wanajiona wao na Mungu ni mtu na mdogo wake,inauma sana!!!
 
Ulaya na America hawjawahi kutupa misaada waafrika.HV MTU akikupa sh mia alafu indirectly anakuibia elfu kumi amekusaidia?tukomae wenyewe kama VP,kwani wenyew walisaidiwa na nani wakaendelea.ukoloni mamboleo ifike point tuukatae.
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Wee jamaa angalia facts kwenye bandiko lako usije ukawaua ambao hawajafa.
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.
Imani bila matendo imekufa ikiwa
Wapuuzi wanaharibu Nchi badala ya kuwaambia ukweli mnamsumbua
Mungu kwa kuomba
 
Pato zima la taifa $52 billioni haifiki hata theluthi moja pato ya Amazon ($177 billioni ) kampuni ya Jeff Bezos. Jeuri ya nini?,Tuache ushamba.
 
Umeongea jambo Kubwa sana wapiga mbinja hawataelewa!
 
Kwa mawazo kama haya ndio unaendelea kuharibu badala ya kujiuliza tumefikaje hapa unahamisha tatizo.
kuendelea kuwachukia na kuwafanya waonekane wasaliti wale wote wenye mawazo tofauti.
Ndio kuendelea kuichimbia shimo nchi yetu kimataifa.
Mfumo wa vyama vingi haujaanza leo ni vizuri kujiuliza tatizo liko wapi na kujisahihisha nchi yetu ni moja.
 
The strongest man in the world one who stand alone. Tuache utegemezi
 

Kwani kuna ubaya gani mkaweka tume huru ya uchaguzi, Uhuru wa vyama vya upinzani na kuwaachia wazanzibari waamue hatima yao wenyewe ? Huoni huo unaofanywa na serikali ya CCM ni usaliti mkubwa kuliko yote
 
Mchina ni ndugu yetu wa mama mmoja na baba msaada wake ni muhimu kuliko hao wajukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…