Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kua wewe unadhani tunanyimwa misaada sababu ya ushoga na usagaji tu, ndio akili yako inakutuma hivyo, hufikirii nje ya hapo.

Vitu kama kuminywa kwa demokrasia, kuminywa kwa uhuru wa habari, sheria kandamizi ya mitandao (cyber crime), kutoruhusu wanafunzi wa kike wanaopata mimba kuendelea na masomo, etc vyaweza kua sababu.
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Hivi Kumbe Joyce alishafariki?

Mungu amrehemu, sikua na taarifa kabisa.
 
Mwalimu Nyerere alitofautiana na hayo mashirika ya kinyonyaji toka mwaka 1967 baada ya Azimio la Arusha. Hakuwambia wananchi wafunge mikanda na nchi ilipiga hatua za maendeleo. Mwalimu alifikia hata hatua ya kuvunja uhusiano na Ujerumani na Uingereza pale mataifa yao yalipoingilia Uhuru wetu.
Hivyo sababu za watu kufunga mikanda ni kuvunjika kwa jumuia ya Afrika mashariki na vita ya Kagera nukta. Mwalimu aliyekulisha hayo matango pori ya IMF na WB kuwa ndio sababu za sisi kufunga mikanda kakudanganya.
WB na IMF wanao Mchango mkubwa kwenye kurekebisha baadhi ya Sera za kijamaa na masharti ya ufanyaji biashara nchini.
 
Hiyo ilikuwa ni kufuatia vita vya Kagera. Unachanganya mambo.
Wamechanganyikiwa hawa wapinzani walahi
Ninacho shukuru hakuna mtanzania anayejiangaisha kuingia humu walahi
Uwongo wa upinzani ume wa put off watu watu wengi sana walahi
Waache tu wendelee kujidanganya wenyewe kwa wenyewe walahi
 
Kwahiyo nyie vijana mlio makazini mnaongea hivi je sisi wastaafu tutafanya Nini ktk Maisha haya jamani,
Mnatuumiza sisi wazee,na tukisoma hizi thread zenu mioyo inaenda mbio sana jamani.
Nyie wazee ndo mliotufikisha hapa..hamjataka kupambana na ya ela yote tupate misingi mizuri ya katiba na uhuru wa mawazo yenu..zaidi sana mlikuwa mnasema zidumu fikra za mwenyekiti hata kama ni mbaya..unafiki mliokua nao ndo mnaotulisha sisi vijana na kizazi chetu nacho kitapata tabu na hasa ukizingatia kwa sasa elimu yenyewe inashindwa kutusaidia heri yenu nyie wazee kabla ya kumaliza darasa la nne ulikua na hakika ya kazi ila kwa sasa hata uwe na digrii hupati kazi na ukipata kazi unalipwa kisichoendana kwakifupi nyie wazee mngetumia akili mkadai uhuru wa akili badala ya uhuru wa miili nahusi tusingekua hapa..mnatuambia mnadumisha amani wakati amani yenyewe hii askari wanakwenda kusimamia uchaguzi as if alshabab ndo wanapiga kura na matokeo yanatangazwa na.polisi na huo bado mnadai ni uhuru na kuna amani..nyerere alikosea kutuachia katiba ya kikoloni
 
N
Na wakwende tu kama swala ni Ushoga
 
Tatizo wengi mnajua sana....no matter what,God is our refuge. ..ukiiombea nchi yako mabaya,basi ya kukute wewe na familia yako.

Mambo mengine Muwe mnatumia personal nouns....wengine tunamlilia Mungu juu ya Taifa.

Acha mambo hayo, hayasaidii !. Mungu ametupa akili, usipotumia akili au kufuata basic principles ukapatwa na matatizo Mungu hausiki, anakucheki tu, huku akisikitika. Wewe unafikiria nchi zilizo na matatizo lukuki kama ilivyokuwa Rwanda na Burundi wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe unafikiri kwao hakuna watu waliokuwa wanaomba ?

Umeshajiuliza nchi ambazo kwa kiwango kikubwa ambazo zinafuata basic principles za ubinadamu ndizo zenye Amani na mafanikio hata kama sio watu wa dini sana ?

Tukiboa Tz itakula kwetu vibaya and God is not to blame.
 
MCHINA ANATOSHAAA
Ungekua ulishawahi kufanya kazi na mchina usinge muhusudu hata kidogo..wenzenu waliowahusudu wachina washapokonywa shirika la umeme na kituo cha radio ya taifa na jeshi la polisi kuna mchina..they are not good at all..muwashangilie coz huna pa kukimbilia but u will rgret forever
 

True, lakini usijali kama ulivyo sema hao watu ni majasusi ni kweli, na wanamjua ndani nje zitto Kabwe na wao sio wajinga wachukue maamuzi kutokana na kinywa cha mchumia tumbo walahi
Hao wadhungu wanatuitaji kuliko sisi tunavyo waitaji walahi
WAJINGA WACHACHE WA HUMU NDANI NDIO MA CRAZY PSYCHOPATH WALAHI
 
Toka lini Tanzania tuliruhusu Shule za serikali zilisomesha wajawazito? Huu ni mwaka wa tatu Mh Magufuli anaongoza Tanzania hakuna mabadiliko ya ufanyaji siasa ni kama alivyotangaza mwanzo. Kwanini wasingefanya hivyo siku chache baada ya Mh Rais kutoa amri hizo.
Baada ya Makonda kuwakabili mashoga Dar ndio wamekuja na huo uamuzi.
 
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Kumbe Wale wajapani waliojenga TAZARA walimtatua jiwe marinda kwanza...... Kama ni hivyo lazima akatae misaada yao.... Maana paka amalize muda wake hayo marinda yatakuwa hayafai.
 
Too low mbona hata rais huwa anasimama na wazungu ina maana na yeye huwa anatusaliti.

 
Utegemezi haujawai kumuacha mtu salama, kisa msaada ndo tuanapangiwa na mambo yetu ya ndani kweli kuna haja ya kujitegemea
 
Haki za binadamu au ushoga. Pesa nyingi zinatoewa na mashoga kupitia hizo nchi ili nchi hizo zishinikize ushoga. Wewe fikiria ni kwanini wameanza hizi vurugu za haki za binadamu baada ya timbwili la ushoga kuibuka.

Tatizo tushishabikie na kuona Magu hasikii. Hivi akiachia hayo mabwabwa yatambe mjini hapa unategemea nini. Wakate tu lakini mbele ya safari tutaelewana
 
Si mkiambiwa mnasema "hampangiwi" na "mtapiga mpaka shangazi za watu"?. Na mkilalamikiwa "msiteke/kuua/kuonea/kupotea" raia, ndo kwanza mnaongeza juhudi za sinema zenu za ukandamizaji.

Sasa angalieni useng* wenu nchi mnapo ipeleka!!! Halafu Zitto anasimamia ukeli/anakemea ukandamizwaji, mtu pekee anae simama kidede muache uonevu kwa raia,

-Leo mnamwita msaliti.

-Jana mmemchomea ardhi yake mtawa.

-Juzi kati mmemuweka ndani.

Myu mmoja anawafanya VIONGOZI WA CCM katika kila kona ya dunia msilale usingizi, na msipate hata hamu ya kula.

Zitto kaza buti, hawa mpaka wanyooke.
 
Hivi kwani haiwezi kufikia wakati tukajitegemea wenyewe? kila siku tuwe watu wa kuifurahia misaada? Kimantiki ni tangu lini mataifa ya kibeberu yakasaidia maendeleo kwa LDC's? Ni mpumbavu pekee aweza afiki hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…