Baada ya WB na Denmark kusitisha misaada na uhusiano wanaofuata ni Scandinavia, EU, UK, Canada na Marekani

KWA HIYO BILA ZITTO WASINGEJUA YANAOENDELEA NCHINI?HUONI HATA HUO MRADI WA KUJENGA SOKO LA KINA MAMA UJIJI USHAKWAMA MAAANA DENMARK WANATHAMINI HAKI ZA BINADAMU HAWATAKI TOA MISAADA TENA?HALAFU CCM LUMUMBA BUKU 7 SI MNASEMA HAMNA SHIDA NA MISAADA SASA MNALALAMIKA NINI?SUBIRI TRA WATUKAMUE HADI VINYESI VITOKE KUFIDIA MAGEPU,SIPATI PICHA HUK BARABARANI TRAFFIC NA FAINI HIZO NA BADO ARV ZA UKIMWI ZITAPOTEA,MSAADA KWA WATU WA MAREKANI
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
The same to kwangu aisee, halafu kibaya zaidi ukiwaliza wanasema tutafanyaje sasa na wao wameamua.
 
Am just thinking of my mother, she's about to retire Na haya majibwa yamepitisha 25 Kwa 75% Na alivyo spender mamangu Na ccm die hard fan, lord have mercy! No wonder Joyce mapunjo alipotumbuliwa Tu ukatibu mkuu akajifia, dahh!
Aisee
 
Kwa hiyo wewe unataka kusema nini au unataka kila kitu niseme mimi.
 
Sasa wewe unatakaje? Tukubali ushoga? Hakuna inchi iliyoendelea kwa kutegemea misaada tu.. Fanyeni kazi tuache kuombaomba
njiwa hakuna aliyesema tukubali ushoga, watu wanazungumzia jinsi tunavyo kabiliana nao kivita badala ya kisaikolojia.
Kwanza mbona kulikuwa na uvumi kuwa DAB anatatuliwa marinda mbona hakuna aliye mnyanyasa kumpeleka kwa nguvu kupimwa? Au hill ni kwa was mitaani tuu?5
 
zito ndiye aliyewatuma mumteke Mo .. mumpige risasi lissu "! !? muanzishe vita ya ushoga ... hahaa jiwe si alisema nafasi ya kukaimu ukuu wa mkoa haihitaji mtu mwenye elimu ya juu "... endeleeni kumuunga mkono sasa " huku mkishuhudia taifa likiwa linatitia kwenye dhiki
 
Kwanini kwani nini?
 
Yaani unalilia msaada kama mtoto mdogo. Kwa hiyo uko tayari kutatuliwa marinda alimradi tu upewe msaada? Aisee.
Kikwete alikuwa akiamini katika misaada, tupe takwimu ni wanaccm wangapi walitatuliwa marinda kutokana na mwenyekiti wao kuwa omba omba
 
Tuache kumsingizia Zitto wakati ukweli unajulikana
 
Kama yanayoendele nchini juu ya hali ya siasa, democrasia,utawala bora na haki za binadamu ni sawa, Zitto kabwe hawezi kuwa na ushawishi kwa jumuiya za kimatafa kama european union, USA,canada etc . Au hawezi kuwa na ushawishi kwa WB na IMF kusitisha misaad nchini kwetu. Hawa wakubwa wanafanyia kazi malengo ya dunia na kwetu wanadurusu malengo ya milenia na mengineyo ambayo tumesaini kuyalinda . Nchi Kukosa ushawishi kwenye jumuiya za kimataifa sio sababu ya mtu kuhongwa au kuwa kibaraka . Ni matokeo ya utekeleji wa sera na mipango yetu ya ndani. Tujitafakari.
Kumlaumu zitto, lissu au chama fulani cha upinzani ni kushindwa kuukababili ukweli.
 
wakati huo huo ukumbuke kwamba Mungu hapendi unafiki
 
Wapinzani mlikua mnamtukana Kikwete kua ombaomba na mkasifu hili taifa tajiri miaka zaidi ya 50 ya uhuru kwanini tusijitegemee? Kuna mda nikikumbuka haya natamani Magufuli aongoze mpaka kufa kwake maana hatuna msimamo.
 
Kwa kiburi na jeuri ya rais,anadhani wachina pekee ndo suluhisho LA matatizo nchini.,mikataba ya ulaghai na wachina tutanyonywa tena na tena.ndo maana tunasema huyu rais amepelekea taifa kupoteza mwelekeo.
 

EH! Mola! Watu wako watapotoshwa mpaka lini?!!
Mungu akunyime kila kitu ila akuondeshe na umasikini wa roho na akili!! Akufungie milango yote ya utajiri wa mali ila akufunulie utashi na busara. Amina

Mimi na mapungufu yangu kama binadamu siwezi kukusaidia ndugu. Natumaini unampango thabiti wa kuwaepusha ndugu na uwapendao na mavuno ya mbegu mnayozidi kuipanda.
 
Wapinzani mlikua mnamtukana Kikwete kua ombaomba na mkasifu hili taifa tajiri miaka zaidi ya 50 ya uhuru kwanini tusijitegemee? Kuna mda nikikumbuka haya natamani Magufuli aongoze mpaka kufa kwake maana hatuna msimamo.
Kuna mtu kasema hatutaki misaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…