Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Umeniona mkuu. Niseme watoto ndio wamekua udhaifu wangu mkubwa sana, ila kwasasa nimeamua nikaze moyo tu
 
Nimekusoma chief. Nachukua tahadhari sana
 
Kwasasa nimekubali, nitampatia talaka
Hakikisha unapewa haki ya kuwa na watoto wako utaratibu uwekwe ni jinsi gani utakuwa unawaona na kuwasiliana na watoto, akitaka nyumba mwachie ata usihangaike nae maana kitendo cha kukimbia na hati ya nyumba, sijui kadi ya gari maana yake anajali sana mali kuliko utu mwachie vyote usijali kuhusu mali jali kuhusu watoto tuu.
 
Sio picha tu na video clips..mkuu haya tuyaache kwanza
 
Kwa ilipofikia mkuu sitaweza
 
Sure mkuu, uko sahihi.
Gari sita uachia. Nitamuachia vingine. Gari ni kitendea kazi cha shughuki zangu za kila siku.
 
watu wa juu wameridia makubaliano na riba za njaa..
Ahadi ya kuwa pamoja kwenye shida na raha..
Ahadi inayovunjwa na sheria inapopingwa na jamaa, ndoa siyo akiba ni Sanaa.

DIZASTA VINA.

Kesho ukija kuandia 'KATAA NDOA' hapa watu watasema wewe ni shoga.
 
Mkuu huyu mwanamke hastahili huruma ya aina yeyote hata alie machozi ya damu.

Huyu ni mwanaharamu msaliti muuaji kabisa.
 
MUNGU ni wa kwetu sote. MUNGU yupo na karma ipo. Yatapita Tu.
 
Sure mkuu, uko sahihi.
Gari sita uachia. Nitamuachia vingine. Gari ni kitendea kazi cha shughuki zangu za kila siku.
Kwa hiyo aliondoka na kadi za gari sita 😳, Mshukuru Mungu kwa hili maana huyo angekuja kuua huko mbeleni ambapo ungekuwa na mali nyingi ili abaki na mali
 
Hii chukua kama funzo uweze kujifunza zaidi mbeleni kuhusu wanawake...
Na ukipata taraka kata mawasiliano nae kabisa na ufunge moyo usiwasiliane nae mwaka mzima.
Hakikisha kwenye kugawana vitu usimuachie vitu vyako binafsi
Huyo mwanamke hakukupenda toka mwanzo na alikubali kuolewa na wewe kwa sababu na sasa hivi hiyo sababu kashaipatia ufumbuzi na wewe huna faida Tena kwake......
NB; vijana mnapo amua kuona hakikisha unaemua anahitaji kuolewa na sio mtu anahitaji kuolewa kwa sababu siku hiyo sababu yake ikipata ufumbuzi hatahitaji Tena hiyo ndoa.!!!!! Na ataivunja kwa gharama yoyote ile na kumbuka mwanamke akiwa na lake hashauriki.
 
Ningekuwa mimi huyo ningemtia uchizi maisha yake yote
 
"After the divorce with my first wife Nneoma, I got depressed and hurt to the point it affected my life mentally, physically, emotionally that I turned to alcohol as a companion.. because I didn't see the divorce coming. I thought I would never find love again till God sent me my second wife Stephanie .. and from that moment everything turned around.

She brought peace and blessing into my life and our life became complete after she gave me a Son. She brought back that old part of me that I felt was lost .. and she has been the one bringing all the ideas to my recent video. Give love another chance today."

No one wishes for separation but if it is necessary then do the needful. Coming back from a broken marriage is better than coming back in a c°ff!n ⚰️

Meanwhile, I pray we marry once and marry right in Jesus Name 🙏
~~ Nollywood actor Chinedu Ikedieze aka Aki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…