Kaka nisingefanya hivyo yule mwanamke angekuja kunitesa sana maishani , cha kufanya hapo mgonge talaka yake temana nae kabisa, wala ushauri wa kusuluhisha usiusikilize kabisa atakuja kukusumbua zaidi ya hapo.Daahh..hapa kwakwel ni too much, mtu anakubadilishia kabisaa mfumo wa maisha completelly
Hukufanya kosa, unaona picha za uchi halafu ucheke nae, ungalimchapa kisawa sawa baadae na talaka yakeNi kweli.
Huyo ni mwanamke aliyesema hivyo, na mitazamo yao wengi iko hivyo ndio maana unakubaliana nao tu.Hukufanya kosa, unaona picha za uchi halafu ucheke nae, ungalimchapa kisawa sawa baadae na talaka yake
Kwa hapa sasa nilipofikia na uamuzi nilioamua baada ya kutafakari kwa muda mrefu, siwezi tena ruhusu suluhu.Kaka nisingefanya hivyo yule mwanamke angekuja kunitesa sana maishani , cha kufanya hapo mgonge talaka yake temana nae kabisa, wala ushauri wa kusuluhisha usiusikilize kabisa atakuja kukusumbua zaidi ya hapo.
Madam ukiachana na UKOLO wako, ww ni mwanamke mwerevuππΎWazee wa busara wa humu jamvini kaeni na mwanaume mwenzenu mpeni ushauri anapitia wakati mgumu...wanaume wengi hawapendi ligi na majibizano ila wanavumilia maumivu kwa ndani hasa dharau toka kwa mwanamke..
Ingia kwenye maombi na Toba na kufunga, muombe Yesu akuoneshe njia. Saa ingine wenzao tunaoingia nao kwenye ndoa kwa nje Wana muonekano wa kibinadamu, ila sio binadamu ila ni majini (wale malaika walioasi mbinguni) waliovaa miili ya kibinadamu, wanafunga ndoa na wewe kwa ajili ya ku achieve their evil mission against maisha yakoNilikua na attend kote aliko niita kwanza kwasababu nilikua naletewa wito wa kiserikali kwa nyaraka, sasa nikawa naona yaweza kuwa kosa kukaidi.
Pili nilikua naenda kwakua nilikua nataman tusifikie hatua ya kuvunja ndoa maana nilikua najiaminisha yamkini ni hasira tu ,tunaweza tukamaliza kwa kuongea wakiwepo na third parties. Kumbe waapi!!.
Mkuu, nafikiri hili suala kulielezea kwa upande huu nitaleta uzi wake mwingine kabisaa lakin haya yoote yemejiri baada ya mwezi July 2024 ndio kama nikaanza kuona na kuelewa vitu ambavyo ni kama nilikua sivielewi pale nilipoamua kuchukua hatua flan flan za kiroho.Ingia kwenye maombi na Toba na kufunga, muombe Yesu akuoneshe njia. Saa ingine wenzao tunaoingia nao kwenye ndoa kwa nje Wana muonekano wa kibinadamu, ila sio binadamu ila ni majini (wale malaika walioasi mbinguni) waliovaa miili ya kibinadamu, wanafunga ndoa na wewe kwa ajili ya ku achieve their evil mission against maisha yako
Wenzi wengine tunaoingia nao ndoani ni wachawi ma agent wa shetani, hivyo lazma kiwake Fanton Mahal
Mimi niliwaambia kutokana na jinsi ninavyoona afya yangu ya akili inavyokwenda, kutokana na hii ndoa, usalama na uhai wangu na huyu mwenzangu unaweza kuwa hatarini ,ili kuokoa afya yangu ya akili naomba ndoa ivunjwe haraka sana kadri inavyowezekana, na sitaki chochote zaidi ya usalama wangu na wa huyu mwenzangu.Kwa hapa sasa nilipofikia na uamuzi nilioamua baada ya kutafakari kwa muda mrefu, siwezi tena ruhusu suluhu.
WAs was wangu ni endapo mahakama itaamua separation badala ya divorce, maana huwa nasikia kuwa hata mahakama nazo huwa hazikimbilii kuvunja ndoa ndio maana pia hutanguliza utitiri wa mabaraza huku chini kama nyenzo za kuzuia ndoa kuvunjika.
Ila kwasasa am going for divorce straight
NImeeleza kwenye mtiririko wa hii habar chiefWewe uliwekwa lockup kwa sababu gani?
Nitalizingatia hiliMimi niliwaambia kutokana na jinsi ninavyoona afya yangu ya akili inavyokwenda, kutokana na hii ndoa, usalama na uhai wangu na huyu mwenzangu unaweza kuwa hatarini ,ili kuokoa afya yangu ya akili naomba ndoa ivunjwe haraka sana kadri inavyowezekana, na sitaki chochote zaidi ya usalama wangu na wa huyu mwenzangu.
Kwa hayo mapicha lazima ajiridhishe nafsi yake kama watoto ni wake bado mapema, lisije kumkuta jambo uzeeni kama baba Diamond kumbe Diamond alikuwa na baba ake halisi na mama mtu alishamtambulishaga kitambo maskini mzee abdul hakuwa anajua kama alibambikiwa mtoto anakuja sikia kwenye vyombo vya habari, achana na hiyo kuna shemeji yangu alioa mwanamke wake baada ya kushika ujauzito kumbe ile mimba sio yake kalea mtoto mpaka kamaliza form 4 , sasa mtoto akawa mjeuri haswa siku hiyo wakagombana mtoto akamjibu baba ake kwanza wewe unanifokea kama nani wakati baba angu yupo Dodoma basi bhana kumbe behind the scene mama mtu alishamtambulishaga mtoto kwa baba ake halisi na akawa anaenda hadi kumsalimia sasa huyo shemeji baada kusamamishwa kazi kipindi cha magufuli ndo mapicha picha ya dharau yakaanza mpaka mtoto kumwambia wewe sio baba angu ππ½ , Aiseee alichanganyikiwa na alivyowashirikisha ndugu zake walimwambia mbona tunajua toka huyo mwanamke ana mimba ya huyo mtoto kwamba ulibambikiwa ila ndo hivyo mtu huwezi kuingilia mambo ya watu.achana na DNA ndugu yangu, hao watoto ni wako wewe walee, kama hamkuwa na maugomvi huko nyuma achana nayo, hii kitu labda kama umemfuma na mwanaume mwingine lakini kama hujamfuma we acha tu, utawatesa hata hao watoto kisaikolojia kitu ambacho sio kizuri.
Mpaka hapo watoto wameshaathirika sana na kama kuna waliokuwa wakubwa bora waende boarding school tu angalau itawaepushia machungu zaidi
Kabisa mkuu yani asitoe upenyo wowote wa huruma au suluhisho kwa namna yoyote ile, yani tena wakati wa kesi aende na sura ya ubaya ubwela.Fanya uachane naye huyo Mwanamke la sivyo either utakuwa chizi ama atakuua kabisa
Aisee ni hatar sana.Kwa hayo mapicha lazima ajiridhishe nafsi yake kama watoto ni wake bado mapema, lisije kumkuta jambo uzeeni kama baba Diamond kumbe Diamond alikuwa na baba ake halisi na mama mtu alishamtambulishaga kitambo maskini mzee abdul hakuwa anajua kama alibambikiwa mtoto anakuja sikia kwenye vyombo vya habari, achana hiyo shemeji alioa mwanamke wake baada ya kushika ujauzito kumbe ile mimba sio yake kalea mtoto mpaka kamaliza form 4 , sasa mtoto akawa mjeuri haswa siku hiyo wakagombana mtoto akamjibu baba ake kwanza wewe unanifokea kama nani wakati baba angu yupo Dodoma basi bhana kumbe behind the scene mama mtu alishamtambulishaga mtoto kwa baba ake halisi na akawa anaenda hadi kumsalimia sasa huyo shemeji baada kusamamishwa kazi kipindi wacha magufuli ndo mapicha picha ya dharau yakaanza mpaka mtoto kumwambia wewe sio baba angu ππ½ , Aiseee alichanganyikiwa na alivyowashirikisha ndugu zake walimwambia mbona tunajua toka huyo mwanamke ana mimba ya huyo mtoto kwamba ulibambikiwa ila ndo hivyo mtu huwezi kuingilia mambo ya watu.
Kuna mdau mmoja hivi huku mtaani amenishauri hili suala..Siku zote za kesi tafuta dada mrembo sana awe anakusindikiza tu.
Naunga mkonohoja tena iwe pisi ya maana hata kwa kuilipa kutwa yake.Siku zote za kesi tafuta dada mrembo sana awe anakusindikiza tu.