Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Kaka nisingefanya hivyo yule mwanamke angekuja kunitesa sana maishani , cha kufanya hapo mgonge talaka yake temana nae kabisa, wala ushauri wa kusuluhisha usiusikilize kabisa atakuja kukusumbua zaidi ya hapo.
Kwa hapa sasa nilipofikia na uamuzi nilioamua baada ya kutafakari kwa muda mrefu, siwezi tena ruhusu suluhu.
WAs was wangu ni endapo mahakama itaamua separation badala ya divorce, maana huwa nasikia kuwa hata mahakama nazo huwa hazikimbilii kuvunja ndoa ndio maana pia hutanguliza utitiri wa mabaraza huku chini kama nyenzo za kuzuia ndoa kuvunjika.
Ila kwasasa am going for divorce straight
 
Wazee wa busara wa humu jamvini kaeni na mwanaume mwenzenu mpeni ushauri anapitia wakati mgumu...wanaume wengi hawapendi ligi na majibizano ila wanavumilia maumivu kwa ndani hasa dharau toka kwa mwanamke..
Madam ukiachana na UKOLO wako, ww ni mwanamke mwerevu🙌🏾
 
Nilikua na attend kote aliko niita kwanza kwasababu nilikua naletewa wito wa kiserikali kwa nyaraka, sasa nikawa naona yaweza kuwa kosa kukaidi.
Pili nilikua naenda kwakua nilikua nataman tusifikie hatua ya kuvunja ndoa maana nilikua najiaminisha yamkini ni hasira tu ,tunaweza tukamaliza kwa kuongea wakiwepo na third parties. Kumbe waapi!!.
Ingia kwenye maombi na Toba na kufunga, muombe Yesu akuoneshe njia. Saa ingine wenzao tunaoingia nao kwenye ndoa kwa nje Wana muonekano wa kibinadamu, ila sio binadamu ila ni majini (wale malaika walioasi mbinguni) waliovaa miili ya kibinadamu, wanafunga ndoa na wewe kwa ajili ya ku achieve their evil mission against maisha yako

Wenzi wengine tunaoingia nao ndoani ni wachawi ma agent wa shetani, hivyo lazma kiwake Fanton Mahal
 
Mkuu, nafikiri hili suala kulielezea kwa upande huu nitaleta uzi wake mwingine kabisaa lakin haya yoote yemejiri baada ya mwezi July 2024 ndio kama nikaanza kuona na kuelewa vitu ambavyo ni kama nilikua sivielewi pale nilipoamua kuchukua hatua flan flan za kiroho.
Hili tuliache kwanza
 
Kwa hapa sasa nilipofikia na uamuzi nilioamua baada ya kutafakari kwa muda mrefu, siwezi tena ruhusu suluhu.
WAs was wangu ni endapo mahakama itaamua separation badala ya divorce, maana huwa nasikia kuwa hata mahakama nazo huwa hazikimbilii kuvunja ndoa ndio maana pia hutanguliza utitiri wa mabaraza huku chini kama nyenzo za kuzuia ndoa kuvunjika.
Ila kwasasa am going for divorce straight
Mimi niliwaambia kutokana na jinsi ninavyoona afya yangu ya akili inavyokwenda, kutokana na hii ndoa, usalama na uhai wangu na huyu mwenzangu unaweza kuwa hatarini ,ili kuokoa afya yangu ya akili naomba ndoa ivunjwe haraka sana kadri inavyowezekana, na sitaki chochote zaidi ya usalama wangu na wa huyu mwenzangu.
 
Nitalizingatia hili
 
achana na DNA ndugu yangu, hao watoto ni wako wewe walee, kama hamkuwa na maugomvi huko nyuma achana nayo, hii kitu labda kama umemfuma na mwanaume mwingine lakini kama hujamfuma we acha tu, utawatesa hata hao watoto kisaikolojia kitu ambacho sio kizuri.

Mpaka hapo watoto wameshaathirika sana na kama kuna waliokuwa wakubwa bora waende boarding school tu angalau itawaepushia machungu zaidi
Kwa hayo mapicha lazima ajiridhishe nafsi yake kama watoto ni wake bado mapema, lisije kumkuta jambo uzeeni kama baba Diamond kumbe Diamond alikuwa na baba ake halisi na mama mtu alishamtambulishaga kitambo maskini mzee abdul hakuwa anajua kama alibambikiwa mtoto anakuja sikia kwenye vyombo vya habari, achana na hiyo kuna shemeji yangu alioa mwanamke wake baada ya kushika ujauzito kumbe ile mimba sio yake kalea mtoto mpaka kamaliza form 4 , sasa mtoto akawa mjeuri haswa siku hiyo wakagombana mtoto akamjibu baba ake kwanza wewe unanifokea kama nani wakati baba angu yupo Dodoma basi bhana kumbe behind the scene mama mtu alishamtambulishaga mtoto kwa baba ake halisi na akawa anaenda hadi kumsalimia sasa huyo shemeji baada kusamamishwa kazi kipindi cha magufuli ndo mapicha picha ya dharau yakaanza mpaka mtoto kumwambia wewe sio baba angu 🙌🏽 , Aiseee alichanganyikiwa na alivyowashirikisha ndugu zake walimwambia mbona tunajua toka huyo mwanamke ana mimba ya huyo mtoto kwamba ulibambikiwa ila ndo hivyo mtu huwezi kuingilia mambo ya watu.
 
Kwa hayo mapicha lazima ajiridhishe nafsi yake kama watoto ni wake bado mapema, lisije kumkuta jambo uzeeni kama baba Diamond kumbe Diamond alikuwa na baba ake halisi na mama mtu alishamtambulishaga kitambo maskini mzee abdul hakuwa anajua kama alibambikiwa mtoto anakuja sikia kwenye vyombo vya habari, achana hiyo shemeji alioa mwanamke wake baada ya kushika ujauzito kumbe ile mimba sio yake kalea mtoto mpaka kamaliza form 4 , sasa mtoto akawa mjeuri haswa siku hiyo wakagombana mtoto akamjibu baba ake kwanza wewe unanifokea kama nani wakati baba angu yupo Dodoma basi bhana kumbe behind the scene mama mtu alishamtambulishaga mtoto kwa baba ake halisi na akawa anaenda hadi kumsalimia sasa huyo shemeji baada kusamamishwa kazi kipindi wacha magufuli ndo mapicha picha ya dharau yakaanza mpaka mtoto kumwambia wewe sio baba angu 🙌🏽 , Aiseee alichanganyikiwa na alivyowashirikisha ndugu zake walimwambia mbona tunajua toka huyo mwanamke ana mimba ya huyo mtoto kwamba ulibambikiwa ila ndo hivyo mtu huwezi kuingilia mambo ya watu.
Aisee ni hatar sana.
Nafikiri hata nisipowapima, hii inabidi nijiandae nalo. Japo hata nikiwapima nitafanya hivyo secretelly, nitajipa muda kwanza, na nitawapima hata baada ya divorce.
 
Wewe jamaa unayopitia ni mimi mtupu miaka kadhaa iliopita, mimi tulipoitwa kwa mchungaji alietufungisha ndoa nilienda, kwingine kote niligoma mpaka talaka inatoka,
Na sikung'ang'ania chochote, nilikaa kimya kizito kilichomshtua hata yeye ,nilichukua vyeti vyangu tu nikaondoka.
Mungu anaongea nasi kwa njia nyingi,hapo amekuonesha mtu ulie nae.
Ila cha ajabu ,baada ya Talaka na muda kupita tulizaa nae tena.
 
Siku zote za kesi tafuta dada mrembo sana awe anakusindikiza tu.
Kuna mdau mmoja hivi huku mtaani amenishauri hili suala..
Impilcation yake ni nini?
Huoni inaweza sababisha shuda zaidi na yeye kumpa advantage kuwa mimi ndio mwenye shida?
 
Back
Top Bottom