Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Vipi Mheshimiwa wife wako hajakutafuta tu bado hata kukwambia mtoto anaumwa ili uende ukamsalimie? hajakumis tu mpaka sasa? hahaha
We jamaa bwana. Ni kama umeotea ila kuna kitu kimetokea na sijajua maana yake ni nini. Na kimetokea jana tu hapo wala sio mbali.
Ila kwakifupi nilishabadili namba zangu za simu.
Jana wanangu wamenipigia, mama yao kawanunulia simu na kawatafutia line ili wawe wanawasiliana na mimi. Walinitafuta kupitia kwa dada angu na mama angu, sikutaka kuwapigia hiyo jana.
Nimeongea nao asubuh, walinipigia mapema sana kabla ya kwenda shule, waliposikia sauti yangu wamelia sana watoto wangu mpaka nikajisikia vibaya.

Anyways, atleast nimeongea nao.
Japo siwez sema kama mama yao kani miss, maana haina uhusiano wowote. I think labda ameona watoto wake hawako vizuri (maana wananipenda sana na anajua hilo) , am sure she did the effort for them not for me or for us.
 
Mke sa hizi anawaza jinsi ya kutumia maokoto ya60% ataanza kumtafuta baada ya maokoto kuanza kuyeyuka, Simu zitakua nyingi za watoto kuumwa na watoto kukumis
 
usibadilishe namba Mkuu, haya maisha haya basi tu. Sometimes shetani huwa anapitaga kuharibu familia za watu.

We endelea na mishe zako lakini akitaka kurudi usimkubalie haraka lakini pia usimkatalie.. mfanye akonde kwanza na kujutia aliyoyafanya, next time hatarudia huo upuuzi aliofanya.

Atakuwa keshaanza kukumis na kujutia Mkuu, hiyo ishara ya watoto ndio moja ya ishara zenyewe..

Siku akirudi atarudi akiwa na heshima zote tena kwa masharti yako sio yake na atakuheshimu sana kwa kuwa atajua una misimamo na huyumbishwi.
 
Nilifanya hivyo kujitoa kwenye circle ya watu ambao mimi nafahamiana nao na yeye anafahamiana nao. Nilifanya hivi kujipumzisha tu baadavya kesi yabtalaka kuisha, skkioenda kabisa ku entertain maongezi wala kuulizwa juu ya chochote kuhusu our situation. Nikahama na wadau wangu wachache kwanza

Hawezi kurudi.
Yule hata nimtangazie msamaha leo hakyanani, kwa aliyonifanyia, hawezi kuamini kuamini kama nimemsamehe. Ni makubwa sana nikaamua kupambnana nayo kimya kimya mpaka namaliza kesi. Hii najua hawez fanya hata siku moja
 
Kabisa kabisaa. Now atakua busy na mipango ya matumizi na uwekezaji wa 60%.
 
We jamaa bwana. Ni kama umeotea ila kuna kitu kimetokea na sijajua maana yake ni nini. Na kimetokea jana tu hapo wala sio mbali.
Ila kwakifupi nilishabadili namba zangu za simu.
Jana wanangu wamenipigia, mama yao kawanunulia simu na kawatafutia line ili wawe wanawasiliana na mimi. Walinitafuta kupitia kwa dada angu na mama angu, sikutaka kuwapigia hiyo jana.
Nimeongea nao asubuh, walinipigia mapema sana kabla ya kwenda shule, waliposikia sauti yangu wamelia sana watoto wangu mpaka nikajisikia vibaya.

Anyways, atleast nimeongea nao.
Japo siwez sema kama mama yao kani miss, maana haina uhusiano wowote. I think labda ameona watoto wake hawako vizuri (maana wananipenda sana na anajua hilo) , am sure she did the effort for them not for me or for us.
Anawatumia kukufikia wewe be wise. Kuna mtu namjua alikuwa anawatumia watoto kumpgia mwenza ili aweze kurudi
 
usibadilishe namba Mkuu, haya maisha haya basi tu. Sometimes shetani huwa anapitaga kuharibu familia za watu.

We endelea na mishe zako lakini akitaka kurudi usimkubalie haraka lakini pia usimkatalie.. mfanye akonde kwanza na kujutia aliyoyafanya, next time hatarudia huo upuuzi aliofanya.

Atakuwa keshaanza kukumis na kujutia Mkuu, hiyo ishara ya watoto ndio moja ya ishara zenyewe..

Siku akirudi atarudi akiwa na heshima zote tena kwa masharti yako sio yake na atakuheshimu sana kwa kuwa atajua una misimamo na huyumbishwi.
Huo ni uchafu na ushenzi shimo washalichakata wengine harafu ulirudie tena
 
Kwani huko anakokwenda kuchakata yeye hakujachakatwa na wanaume wenzie?
Sio kuchafu?
Ni kheri shetani unayemjua kuliko Malaika usiyemjua.

Kama kuna uwezekano wa kurudiana na nafsi zao zimeridhiana warudiane tu.
Madam alishakuwa mke Kisha akaenda akafanya uasi na kwenda kuchakatwa huko hastahili msamaha hata ukimsamehe atakuona dhaifu sana na unamsamehe ili iweje?
 
Mkuu, akikuona dhaifu badala ya kuona ni upendo atakuwa mpumbavu sana.
Unamsamehe kwasababu tayari alikuwa ni mkeo, amefanya na kulitambua kosa lake, amejifunza kutokana na makosa. Sasa ameamua kurudi muendeleze pale mlipoishia.
 
Kwani unafikiri wakati anafanya makosa alikuwa halitambui Hilo kuwa ni kosa?
 
Aliteleza, aidha kwa kukusudia ama kwa bahati mbaya, matokeo yake yamemfanya agundue udhaifu wake na kuamua kujirudi.

Hata Ex mume anaonesha dhahiri kuwa bado anampenda.
 
Nilifanya hivyo kujitoa kwenye circle ya watu ambao mimi nafahamiana nao na yeye anafahamiana nao. Nilifanya hivi kujipumzisha tu baadavya kesi yabtalaka kuisha, skkioenda kabisa ku entertain maongezi wala kuulizwa juu ya chochote kuhusu our situation. Nikahama na wadau wangu wachache kwanza

Hawezi kurudi.
Yule hata nimtangazie msamaha leo hakyanani, kwa aliyonifanyia, hawezi kuamini kuamini kama nimemsamehe. Ni makubwa sana nikaamua kupambnana nayo kimya kimya mpaka namaliza kesi. Hii najua hawez fanya hata siku moja
You never know Mheshimiwa. Hasira zikiisha huwa sometimes tunajiona wajinga kwa mambo tuliyo yafanya wakati tumekasirika. Give her the space she wants for now. Lakini nakwambia huyo atarudi tu; huko duniani atakutana na mengi na soon atakukumbuka.
 
Hivi kwa nini nyinyi watu munakuwa wagumu kutoa Taraka MWANAMKE amesema akutaki piga chini chukua chuma chengine Cha kuzagamua. Ujaichoka tu iyo ya X wife wako
 
You never know Mheshimiwa. Hasira zikiisha huwa sometimes tunajiona wajinga kwa mambo tuliyo yafanya wakati tumekasirika. Give her the space she wants for now. Lakini nakwambia huyo atarudi tu; huko duniani atakutana na mengi na soon atakukumbuka.
Am not so sure. Nachoshukuru, am healing now, hilo ndio kubwa kwa sasa
 
Back
Top Bottom