Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Kweli kabisa, hijabu hazikutosha hawakufuata ushauri wàko.
 
kwa bahati mbaya, wameshauwa.
 
Kila nikisoma uzi huu naona aibu mimi yaani!
 
Anakisiwa kauliwa leo.
 
Badooo unaendelea na tarumbetaaa hiziii

Tuketeeen mwingineeeeeee mmojammmojaaaa
 
hawa watu wanajua mpaka tunapogongea mahawara wetu sembuse hao mbwaaaa hamasa yaan kile cheo kilamtu atakikataa
 
Huyu member Sasa hivi atakuwa Yuko jikoni kuandaa shombo jingine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…