Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Punguza jazba simba haiwez kuwa ndogo kwa kias hicho et kisa umemfunga Goli 5 au kisa kadraw na Namungo.
Mbona hata yanga anahangaika Sana kumfunga Namungo had msimu fulani mlipewa penalty ya mchongo .

Timu ndogo haiwez ikawa inakimbizana na na anayeongoza msimamo wa ligi kwa idadi ya point chache Sana.

Timu ndogo inawezaje kuingia makundi Mara tano mfululizo na huku wewe timu kubwa ukiingia Mara moja baada ya miaka mingi kupita?

Wewe ulipofungwa na Ihefu Ina maana Ihefu mpo level moja ?
Ihefu aliyekukanda kakandwa na Simba na wakat huo huo Simba kakandwa na nyie ambao mlikandwa na Ihefu.

Punguza jazba na ujuaji wakat hujui hata Mpira upoje.

Moyo wako unakir kabisa kuwa timu mnayoihofia kwenye mbio za ubingwa ni Simba Wala hakuna timu nyingine inayowapa waswas .

Simba ameyumba kidogo Sabab ya viongoz uchwara Ila huwez kusema ni timu ndogo wakat hata kwenye rank za caf kakuacha mbali .

Mkishaanza kuona ugumu mbele ya safar mnakimbilia kumnanga karia Ila Mambo yakiwa mazur kwenu mnakaa kimya kabisa tushawazoea.

Ivi Kama kweli unajua mpira huyo aucho wenu unaona ni sahihi kwa uhuni anaofanya Tena wa wazwaz ,na ashagundua Hilo kuwa mnamwabudu Sana ndio maana anafanya ujinga akiamin Kuna majinga Kama wewe yatakuja kumtetea.Hata inonga akifanya ujinga mbona wadau wanakemea uhuni wake Ila ajabu nyie mnamtetea huyo mhuni ili aendeleee na ujinga wake.tff shikiria hapo hapo Kuna muda huu uhuni utaisha .

Karia karia ,karia ,Ngoja mpoteze mechi nyingine mtaongea kila lugha mbwa nyie .
 
Bravoooo
 
Kamati haijafuta wala kubadili kadi yoyote bali imeongeza adhabu kama ambavyo imetoa hizo adhabu zingine kwa wachezaji na timu.

Na sijafurahia hiyo adhabu, ninachosema imechelewa saaana.
Kamati imefuta kadi ya njano ya mchezaji wa Costal
 
Una point, ila hili povu kama lote huenda likawa limechangiwa na 5G ya 05/11/2023.
 
Mbumbumbu unafuka moshi! Bado unaweweseka waziwazi na Bado mpaka msemeeeeee!! Khamsaaaaaaaa zimekuuma sana!

Mechi na Ihefu kosa ni kocha kuwaamini wazawa na wakafungwa mechi iliyofuata Yanga ikaweka full mkoko na kushinda mechi zote mfululizo, Sasa Simba kakandwa na Yanga mechi iliyofuata kadroo na Namungo na inayofuata atakandwa mpaka gepu la points lifike 10 ndio huwa uto tunarelax!

Jinsi mbumbumbu mnahangaika na takwimu za CAF za mpira wa kwenye makaratasi na kuendelea kukataa kwenu kuwa Simba hii ni underdog ndio Yanga inaandaa supu ingine ya kulibeba tena kiulaini kombe la NBC premier league, save my comment, mi niko paleeee Buza kwa Mpalanger nawazooom tu Makolokwinyo!

Povu lako mbumbumbu halitabadili chochote tunawasubiri round ya pili tuwakande tena 7G na kumalizia kazi!!

Na Bado, mpaka mthemeeeee!! 5G haiwatoshi nyie dawa ni kuwapiga wiki ( 7G!)
 
Nan kakudanganya ? Huyo yupo Sana hapo tff labda kifo ndio kitaamua ukomo wa uongozi wake .Amefanya mengi makubwa ukilinganisha na kelele chache za vyura fc
Mr Karai amefanya mengi yapi? Yataje! Labda kwa Makolo sio kwa Tanzania wala Kwa timu zingine!

Mafanikio ya Taifa Stars ni juhudi binafsi za wachezaji na bonus za hayati Magufuli na Sasa Mama Samia sio kutoka kwa kolo msomali Mr Karai!!

Mr Karai anaionea sana Yanga kwa chuki binafsi za Yanga kuikanda Simba khamsa na kubeba makombe na kuweka mabango ya 5G hilo liko wazi na atafeli tu!!iHli lazima tuliweke sawa na hatunyamazi mnavyotaka mpaka haki itendeke kwa Aucho na tuone wengine pia wapewe kadi za mezani sio Yanga tu !

Mr Karai ni muda sasa umefika aondokeeeeee! Imetosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…