Baada ya Yanga kushinda ratiba ngumu ya TFF, TFF Bado hawajakata tamaa kwa Yanga

Yanga imejaa vipaji Gamondi ni fundi atabadili mfumo wa kucheza kwa Aucho kukosekana, namuona Skudu akivaa jezi au Mkude japo hatuwezi kukaa kimya kulisemea hili wazi kuwa yule Mr Karai ni mchawi wetu na ni mjinga kabisa ye anadhani kuishughulikia Yanga ndo kutaipa Simba ubingwa!

Ukweli ni kuwa Simba ni underdog kwasasa uwezo wake ni sawa na timu ndogo za ligi kama JKT na Kmc na mechi ya mwisho Simba amedhihirisha udogo wake Kwa kudroo na Namungo nyumbani. Tunawaasa marefa wachezeshe kihalali mechi za Simba na panapovuja pataonekana!

Ukiwa shabiki wa kolowizard huwezi kuona jinsi Yanga inashughulikiwa na Mr Karai.

Eng Hersi ni tishio kubwa kwasasa kwa TFF na tayari wameshachelewa jamaa keshatoboa kwa Yanga yake kusifika Africa , level za Hersi kwasasa ni kukaa mezani na kina Motsepe na Rais wa Fifa na sio matopeni TFF na hicho ndio kinawauma sana TFF hata kuiumiza Yanga na adhabu za kipumbavu , hivi ligi nzima anaecheza rafu za viwiko ni Aucho tu? Haya majitu ya TFF hata aibu hayana Na Bado tuna point zingine tatu derby ijayo ambapo Yanga tutaikanda Simba wiki (7-0).
Punguza jazba simba haiwez kuwa ndogo kwa kias hicho et kisa umemfunga Goli 5 au kisa kadraw na Namungo.
Mbona hata yanga anahangaika Sana kumfunga Namungo had msimu fulani mlipewa penalty ya mchongo .

Timu ndogo haiwez ikawa inakimbizana na na anayeongoza msimamo wa ligi kwa idadi ya point chache Sana.

Timu ndogo inawezaje kuingia makundi Mara tano mfululizo na huku wewe timu kubwa ukiingia Mara moja baada ya miaka mingi kupita?

Wewe ulipofungwa na Ihefu Ina maana Ihefu mpo level moja ?
Ihefu aliyekukanda kakandwa na Simba na wakat huo huo Simba kakandwa na nyie ambao mlikandwa na Ihefu.

Punguza jazba na ujuaji wakat hujui hata Mpira upoje.

Moyo wako unakir kabisa kuwa timu mnayoihofia kwenye mbio za ubingwa ni Simba Wala hakuna timu nyingine inayowapa waswas .

Simba ameyumba kidogo Sabab ya viongoz uchwara Ila huwez kusema ni timu ndogo wakat hata kwenye rank za caf kakuacha mbali .

Mkishaanza kuona ugumu mbele ya safar mnakimbilia kumnanga karia Ila Mambo yakiwa mazur kwenu mnakaa kimya kabisa tushawazoea.

Ivi Kama kweli unajua mpira huyo aucho wenu unaona ni sahihi kwa uhuni anaofanya Tena wa wazwaz ,na ashagundua Hilo kuwa mnamwabudu Sana ndio maana anafanya ujinga akiamin Kuna majinga Kama wewe yatakuja kumtetea.Hata inonga akifanya ujinga mbona wadau wanakemea uhuni wake Ila ajabu nyie mnamtetea huyo mhuni ili aendeleee na ujinga wake.tff shikiria hapo hapo Kuna muda huu uhuni utaisha .

Karia karia ,karia ,Ngoja mpoteze mechi nyingine mtaongea kila lugha mbwa nyie .
 
Bila kificho timu inayoongozwa kuchukiwa na kutafutwa na TFF hii ya sasa ni Yanga nakumbuka speech moja ya Rais alidiriki kusema Rais wa TFF ni Simba lia lia bila shaka jamaa anaenda kuprove kwamba yeye ni Simba lialia haswa na hapendezwi na Yanga kufanya vizuri hasa kile kichapo cha goli 5.

Baada ya TFF kuipangia Yanga ratiba ngumu na Yanga kuibuka na point tisa kibabe mbaya zaidi kuipiga timu ya baba kichapo cha mbwa mwizi Tff wamekuja na hili la kumfungia Aucho mechi 3 Mungu alivyomwema Yanga wanaenda kuibuka na pointi Tisa tena.

Tff wanaishi kwa kisasi sana na Yanga ukienda mbali zaidi Tff wanaogopa kivuli cha Eng Hersi wanataka kumwaribia ili Sifa zake nzuri zififie ila hawawezi wameshashindwa hakuna Mwanayanga hajui value ya Eng Hersi. Rais wa Tff yupo nyuma ya haya yote yanayoendelea hujma dhidi ya Yanga.

Wanayanga muwe Imara Tff wakishindwa la aucho watakuja na Plan F ili mradi kuipa unafuu Simba ila chini ya Gamondi yanga wataenda kukwepa mitego yote ya Tff.

Roma ikisema imesema
Bravoooo
 
Kamati haijafuta wala kubadili kadi yoyote bali imeongeza adhabu kama ambavyo imetoa hizo adhabu zingine kwa wachezaji na timu.

Na sijafurahia hiyo adhabu, ninachosema imechelewa saaana.
Kamati imefuta kadi ya njano ya mchezaji wa Costal
 
Punguza jazba simba haiwez kuwa ndogo kwa kias hicho et kisa umemfunga Goli 5 au kisa kadraw na Namungo.
Mbona hata yanga anahangaika Sana kumfunga Namungo had msimu fulani mlipewa penalty ya mchongo .

Timu ndogo haiwez ikawa inakimbizana na na anayeongoza msimamo wa ligi kwa idadi ya point chache Sana.

Timu ndogo inawezaje kuingia makundi Mara tano mfululizo na huku wewe timu kubwa ukiingia Mara moja baada ya miaka mingi kupita?

Wewe ulipofungwa na Ihefu Ina maana Ihefu mpo level moja ?
Ihefu aliyekukanda kakandwa na Simba na wakat huo huo Simba kakandwa na nyie ambao mlikandwa na Ihefu.

Punguza jazba na ujuaji wakat hujui hata Mpira upoje.

Moyo wako unakir kabisa kuwa timu mnayoihofia kwenye mbio za ubingwa ni Simba Wala hakuna timu nyingine inayowapa waswas .

Simba ameyumba kidogo Sabab ya viongoz uchwara Ila huwez kusema ni timu ndogo wakat hata kwenye rank za caf kakuacha mbali .

Mkishaanza kuona ugumu mbele ya safar mnakimbilia kumnanga karia Ila Mambo yakiwa mazur kwenu mnakaa kimya kabisa tushawazoea.

Ivi Kama kweli unajua mpira huyo aucho wenu unaona ni sahihi kwa uhuni anaofanya Tena wa wazwaz ,na ashagundua Hilo kuwa mnamwabudu Sana ndio maana anafanya ujinga akiamin Kuna majinga Kama wewe yatakuja kumtetea.Hata inonga akifanya ujinga mbona wadau wanakemea uhuni wake Ila ajabu nyie mnamtetea huyo mhuni ili aendeleee na ujinga wake.tff shikiria hapo hapo Kuna muda huu uhuni utaisha .

Karia karia ,karia ,Ngoja mpoteze mechi nyingine mtaongea kila lugha mbwa nyie .
Una point, ila hili povu kama lote huenda likawa limechangiwa na 5G ya 05/11/2023.
 
Mbumbumbu unafuka moshi! Bado unaweweseka waziwazi na Bado mpaka msemeeeeee!! Khamsaaaaaaaa zimekuuma sana!

Mechi na Ihefu kosa ni kocha kuwaamini wazawa na wakafungwa mechi iliyofuata Yanga ikaweka full mkoko na kushinda mechi zote mfululizo, Sasa Simba kakandwa na Yanga mechi iliyofuata kadroo na Namungo na inayofuata atakandwa mpaka gepu la points lifike 10 ndio huwa uto tunarelax!

Jinsi mbumbumbu mnahangaika na takwimu za CAF za mpira wa kwenye makaratasi na kuendelea kukataa kwenu kuwa Simba hii ni underdog ndio Yanga inaandaa supu ingine ya kulibeba tena kiulaini kombe la NBC premier league, save my comment, mi niko paleeee Buza kwa Mpalanger nawazooom tu Makolokwinyo!

Povu lako mbumbumbu halitabadili chochote tunawasubiri round ya pili tuwakande tena 7G na kumalizia kazi!!

Na Bado, mpaka mthemeeeee!! 5G haiwatoshi nyie dawa ni kuwapiga wiki ( 7G!)
 
Nan kakudanganya ? Huyo yupo Sana hapo tff labda kifo ndio kitaamua ukomo wa uongozi wake .Amefanya mengi makubwa ukilinganisha na kelele chache za vyura fc
Mr Karai amefanya mengi yapi? Yataje! Labda kwa Makolo sio kwa Tanzania wala Kwa timu zingine!

Mafanikio ya Taifa Stars ni juhudi binafsi za wachezaji na bonus za hayati Magufuli na Sasa Mama Samia sio kutoka kwa kolo msomali Mr Karai!!

Mr Karai anaionea sana Yanga kwa chuki binafsi za Yanga kuikanda Simba khamsa na kubeba makombe na kuweka mabango ya 5G hilo liko wazi na atafeli tu!!iHli lazima tuliweke sawa na hatunyamazi mnavyotaka mpaka haki itendeke kwa Aucho na tuone wengine pia wapewe kadi za mezani sio Yanga tu !

Mr Karai ni muda sasa umefika aondokeeeeee! Imetosha!
 
Back
Top Bottom