Heading ndio inabeba mada nzima .kubali akili huna unaweka kichwa cha mada kutaifisha wakati habari haiongelei kutaifishaKwahiyo wewe unaangalia heading tu.
Watakuchukua wewe na kizazi chako kabla hawaja mgusa MAMA TANZANIAChina ndie mkoloni mpya wa Africa naye tu marafiki wa kudumu wa raslimali zetu. Soon watachukua Bandari na uwanja wa ndege
Heading ndio inabeba mada nzima .kubali akili huna unaweka kichwa cha mada kutaifisha wakati habari haiongelei kutaifisha
Tofautisha mikataba na mikopo
Halafu sio kila kitu cha serikali lazima bavicha muone
CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Acha kujiogopesha kijana,rais wetu yuko makini sana.tofauti na hapo utaumia roho bure tu
Jiwe anafurahia mikopo toka china kwa sabb haiambatani na masharti kama kutenda haki kwa wananchi wake, demokrasia, uwajibikaji, nk.
Hajajua kuwa wachina ni wabinafsi, wapo kibiashara zaidi, hata kama mtawala anakula watu wake wachina hawajali, wanaangalia maslahi yao tu.
Afu wachina hawana msamaha wa deni kama wazungu.. Ukishindwa kulipa wanakumiliki mazima!
Kuna watu ni too much obsessed na jiwe wanamuona anajua kila kitu lakini wallahi jiwe ni mshamba sana kwenye diplomatic economy soon tunaangukia pua nyie mnaomsifia mtajilaumu sana tujipe muda hadi June ijayo
Mimi mikono juu kwa wachina bora turud kwa mzungu labda kidogo ana huruma
Mimi nafikiri uelewa wako ni mdogo sana nimekwambia habari hajaandika Quinine huelewi, watu wengine mnakera sana au mna ubishi wa asili.Heading ndio inabeba mada nzima .kubali akili huna unaweka kichwa cha mada kutaifisha wakati habari haiongelei kutaifisha
Kama mikataba ni ya muda mrefu, yani 30 to 40 years, lazima rais wetu ajidai, kwasababu muda watakapo kuwa wanataifisha rasilimali za taifa kufidia madeni, yeye hatokuwepo. Hivyo haoni tatizo kujisifia. Kwa maana halitakuwa tatizo lake, mkapa alipobinafsisha mashirika ya umma wakati wake alionekana genius, na alikuwa na sababu kedekede. Leo hata yeye anajutia uamuzi wake, lakini hana namna.
Viongozi wa afrika wana laana, mikopo wanachukuagizani, tena wanaenda kuchua kwa mchina asiyewafatilia ili wazipige, mfano hiyo SGR pesa inayokopwa kwa kudai ina riba na masharti nafuu, hiyo riba na hayo masharti nafuu hayasemwi ni yapi.
40% ya hiyo mikopo inakwenda mifukoni mwao, 60 inaenda kweny mradi. Ndio chanzo cha kifeli. Na mchina anapenda ufeli ndio maana akishakupa mkopo wske hafatiii tena hata kama pesa hizo unaenda kulewea pombe. Ndicho wanaona ni masharti nafuu.
ume quote asiye na akili kama wewe asiyejua maana ya kutaifisha
Aaaa wapi utataifishwa wewe na kizazi chako kabla nchi yetu Tanzania walahi
Chadrama mcharuko kwishney
Nenda kamwone dj lupango, hamna lolote nyie walahi
We're never going to be next, we're smarter under Magufuli, assume tungeendelea na sgr chini ya mchina kama kikwete alivyotaka.CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Ndugu uwekezaji wowote unafikiriwa kwa namna ya element za risk na kwakuwa lengo kubwa la biashara ni faida. Hizo ndio sababu watu utumia muda mwingi sana kufanya marketing research maamuzi ya kufanya investment ni kutokana na majibu ya research kuamua biashara ipo au la sio hisia za mtu.Tungekuwa na Kiongozi kama wewe Tanzania ingalituchukua Miaka 500 kumiliki ndege.
Tafuta basi orodha ya wanaodaiwa na china alafu ucompare.Hata kule zambia vichwa ngumu walikuwa wanasema kama wewe lkn mwisho wake sasa hivi uwanja wa ndege siyo mali yao tena na zesco ipo chini ya futi 4