Lord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia.
Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na Watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo.
Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa.
Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.
umeongea maneno yenye thamani kuliko dhahabu maneno mazuri sana mwenye akili atafahamu asie na akili ataendelea kuupiga mwingi